K

K ni herufi ya 11 katika katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Asili yake ni Kappa ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za K

Historia ya alama K

Kisemiti asilia:
picha ya kofi
Kifinisia:
Kaf
Kigiriki:
Kappa
Kietruski:
K
Kilatini:
K
K  K  K  K  K 

Asili ya herufi K ni katika miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia.

Wafinisia walikuwa na kaf iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya kofi (au: uso wa mkono) wakitumia alama tu kwa sauti ya "k" na kuiita kwa neno lao kwa kofi "kaf". Wagiriki walichukua alama hiyo na kuiita "kapha" bila kujali maana asilia ya "kofi" ilikuwa sauti tu ya "k".

Waitalia ya kwanza wakaendelea kutumia alama kwa aina ya "k". Waroma mwanzoni hawakutumia alama hii kwa sababu hawakuwa na "k" jinsi Waetruski walivyoitamka. Kwa sauti ya "k" ya kawaida Waroma walitumia C. Lakini baadaye baada ya Roma kutwaa na kutawala Ugiriki walianza kutumia maneno mengi ya Kigiriki wakaingiza K ya Kigiriki katika alfabeti yao wakaitumia wka maneno ya kigeni tu.

Tags:

Alfabeti ya KigirikiAlfabeti ya KilatiniKappaKiswahili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa ZanzibarMwanaumeMwanzoSemiIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Wilaya ya IlalaSimba S.C.Luhaga Joelson MpinaAina za udongoBiashara ya watumwaKinyongaMgawanyo wa AfrikaNathariKiambishi tamatiRisalaWema SepetuUtamaduni wa KitanzaniaKata (maana)UbongoNyongoMarekaniMaambukizi ya njia za mkojoMkunduMJWhatsAppChristina ShushoDubai (mji)Maajabu ya duniaVokaliMbweni, KinondoniHifadhi ya Taifa ya NyerereMimba kuharibikaMkoa wa SongweImaniDivaiHistoria ya BurundiMange KimambiKassim MajaliwaMahakama ya TanzaniaMapambano ya uhuru TanganyikaMkoa wa KilimanjaroKiingerezaMartha MwaipajaViwakilishi vya idadiSentensiManchester United F.C.Maeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaHistoria ya WasanguUtafitiMtandao wa kompyutaSeli nyeupe za damuUgonjwa wa uti wa mgongoBiasharaGongolambotoMwanza (mji)Uhifadhi wa fasihi simuliziMilaMoshi (mji)Michezo ya watotoUzazi wa mpangoEthiopiaSintaksiTungo sentensiTawahudiWagogoKinembe (anatomia)WahaMasadukayoKinyereziMizunguMbeziBendera ya ZanzibarKimara (Ubungo)Maji🡆 More