Q

Q ni herufi ya 17 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia alfabeti ya Kiswahili.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Haitumiki katika mwandishi wa maneno ya Kiswahili isipokuwa kwa maneno ya kigeni.

Hapo sauti yake huwa ni "k". Hutokea mara nyingi pamoja na "u" kama "Qu" kwa sauti za "ku", "kw" au "kv". Hutumiwa pia kwa sauti ya ق (qaf) au "k ya shingoni" katika maneno ya Kiarabu kama vile "Qatar" yakiandikwa kwa alfabeti ya Kilatini.


Historia

Kifinisia Qof Kigiriki Koppa Kietruski Q Kilatini Q
Q  Q  Q  Q 

Asili ya Q ni alama ya Qof katika mwandiko wa Kifinisia. Hakuna uhakika kuhusu maana asilia ya alama hiyo lakini herufi zote za Kifinisia zilitokana na picha zilizorahisishwa. Ilitumiwa kwa sauti ya "k ya shingoni" jinsi ilivyo hadi leo katika qaf ya Kiarabu.

Wagiriki wa Kale walipokea herufi za Wafinisia na kuziendeleza. Hawakuwa na sauti kama ile "qof" ya kifinisia. Awali waliita herufi hii "koppa" na kuitumia kwa sauti ya "k" kabla ya "o" na "u" lakini baadaye hawakuona faida tena ya kuwa na alama mbili kwa "k" ileile wakafuta koppa.

Alfabeti ya Kigiriki ilitumiwa na Waetruski huko Italia wakati "koppa" bado ilikuwemo. Waliendelea kuitumia kwa sauti ya "ku" iliyotokea mara nyingi katikla lugha yao. Waroma wa Kale walipokea hivyo kutoka kwa Waetruski katika Kilatini. Mstari wa chini ukasogea kando jinsi ilivyo hadi leo.

Tags:

Alfabeti ya KilatiniKiswahili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ngono zembeWakwereShairiVivumishi vya -a unganifuOsama bin LadenDaudi (Biblia)KitenziUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMishipa ya damuWizara za Serikali ya TanzaniaMashariki ya KatiPichaAngahewaAmfibiaKilimanjaro (volkeno)KarafuuIsraeli ya KaleBendera ya TanzaniaChama cha MapinduziKipindupinduMgawanyo wa AfrikaJay MelodyKitenzi kikuu kisaidiziNomino za pekeeLongitudoKisukari (ugonjwa)Mfumo wa hali ya hewaSeli nyeupe za damuLafudhiJokofuMkoa wa IringaFiston MayeleWamasaiHali ya hewaUzazi wa mpangoPauline Philipo GekulFisiChelsea F.C.VitendawiliOlduvai GorgeMadawa ya kulevyaMohammed Gulam DewjiAfrika Mashariki 1800-1845HarmonizeUturukiUtoaji mimbaMkoa wa LindiHurafaMnyamaJoyce Lazaro NdalichakoOrodha ya Marais wa KenyaRoho MtakatifuNambaWaluguruBaraza la mawaziri TanzaniaUfeministiMwakaWaheheMethaliWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)KenyaHadithi za Mtume MuhammadSanaa za maoneshoPunyetoMungu ibariki AfrikaKukuShangaziKiboko (mnyama)NadhariaUngujaMjombaUkristo nchini TanzaniaBabeliUkooKassim Majaliwa🡆 More