Kali

Kali (pia: potasiamu, ing. potassium) ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 19 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 39.098. Alama yake ni K.

Kali (kalium; potassium)
Kali
Jina la Elementi Kali (kalium; potassium)
Alama K
Namba atomia 19
Mfululizo safu Metali alikali
Uzani atomia 39.098
Densiti 0.89
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 336.53 K (63.38 °C)
Kiwango cha kuchemka 1032 K (759 °C)
Asilimia za ganda la dunia 2.4 %
Hali maada imara

Kali - potasiamu

Jina Kali latokana na neno la Kiarabu "qalia" kwa majivu lakini jina la potasiamu ni kawaida vilevile kutokana na neno "potassium" kwa sababu kampaundi zake zimo kwa wingi ndani ya majivu ya ubao yaliyosafishwa kwa kuchemsha katika sufuria (Kiing.: "ash" na "pot").

Tabia

Kali (potasiamu) ni metali laini sana inayochemka kwa sentigredi 83 tayari. Rangi yake ni nyeupe-fedha. Haipatikana kiasili kama metali tupu kwa sababu humenyuka haraka na kuoksidika hewani. Inamenyuka vikali sana na maji hivyo kali metali hutunzwa chini ya mafuta.

Matumizi

Aloi ya kali na natiri hutumiwa kama kiowevu cha kupoza mitambo ya nyuklia.

Chumvi za kali hutumiwa sana kama mbolea wa kilimo.

Kali (Potasiamu) ni muhimu hasa katika chembe za mimea na wanyama. Lazima kuwepo katika chakula chetu lakini si mno kwa sababu ikizidi inaleta hasara.

Kali  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kali kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SakramentiKonsonantiHussein KaziSautiTarakilishiMlongeLigi Kuu Tanzania BaraMkoa wa DodomaKidoleAnthropolojiaOrodha ya maziwa ya TanzaniaWapareDaktariUlemavuMwenge wa UhuruVisakaleLugha ya taifaDini asilia za KiafrikaKarafuuBendera ya ZanzibarTanganyika (ziwa)Kadi za mialikoRose MhandoMtakatifu PauloNomino za pekeeHoma ya iniSanaaAmri KumiBabuUkimwiUjuziEe Mungu Nguvu YetuViwakilishi vya kumilikiWema SepetuAfro-Shirazi PartyUandishiAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuJinaMshale (kundinyota)Kilimanjaro (volkeno)Mkoa wa Mbeya22 ApriliHektariKibodiPamboMsalaba wa YesuNelson MandelaWachaggaAsidiWayahudiMpira wa miguuMisemoMjasiriamaliFacebookAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMkoa wa MorogoroUraibuMsokoto wa watoto wachangaNjia ya MachoziBarua rasmiKanisa KatolikiMethaliKilwa KisiwaniNyegereHadithi za Mtume MuhammadTiba asilia ya homoniFasihi andishiNdovuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuBurundiNdoaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiSemantiki🡆 More