Kifinisia

Kifinisia ilikuwa lugha ya Kisemiti iliyozungumzwa kati ya 1100 KK hadi takriban 600 BK katika maeneo ya pwani la Kanaani na Shamu ya magharibi ambako leo hii kuna nchi za Israeli, Lebanoni na Syria.

Kifinisia
Abjadi ya Kifinisia
Faili:Lamine Pyrgi.jpg
Mwandishi wa Kifinisia

Ilikuwa lugha ya Wafinisia ikaenea pamoja nao katika koloni zao hadi Afrika ya Kaskazini kama Karthago na Hispania.

Kifinisia ilikuwa lugha ya kwanza iliyoandikwa kwa aina ya alfabeti iliyoendelezwa baadaye katika alfabeti ya Kigiriki. Hali halisi mwandiko huu ulikuwa abjadi ukawa mama wa miandiko yote ya Kisemiti (kama herufi za Kiarabu na Kiebrania) na pia wa alfabeti zote zilizofuata alfabeti za Kigiriki na Kilatini.

Tags:

BKIsraeliKKKanaaniLebanoniLugha ya KisemitiShamuSyria

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SalaHistoria ya UislamuMwanza (mji)Lugha ya taifaUgonjwa wa kuharaKilwa KivinjeAfrika KusiniDubaiNuru InyangeteAfande SeleShinikizo la juu la damuUnju bin UnuqMauaji ya kimbari ya RwandaKimondo cha MboziMarekaniTungo kishaziSilabiVita ya Maji MajiHarmonizeFananiTarehe za maisha ya YesuAina ya damuInsha ya wasifuMbeguSamia Suluhu HassanMwanamkeRedioHektariWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiIntanetiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarUpinde wa mvuaDodoma (mji)Jackie ChanNyangumiTiktokWizara za Serikali ya TanzaniaGhanaMkoa wa MorogoroUandishi wa ripotiItaliaKiboko (mnyama)FisiFonolojiaAMsukuleNyaniTaswira katika fasihiMfumo wa mzunguko wa damuUlumbiBiashara ya watumwaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUfugaji wa kukuHistoria ya WapareWashambaaKuhaniWachaggaTarafaBunge la Afrika MasharikiRené DescartesOrodha ya majimbo ya MarekaniUsiku wa PasakaHaitiWamasaiPicha takatifuBibliaKataDar es SalaamMishipa ya damuAngahewaNgamiaSaddam HusseinMagonjwa ya machoMusuli🡆 More