Bunge la Afrika Mashariki (kwa Kiingereza: East African Legislative Assembly, kifupi: EALA) ni chombo cha Jumuia ya Afrika Mashariki kwa kutunga sheria.
Wabunge wanahudumu kwa miaka mitano.
Bunge lilianzishwa tarehe 30 Novemba 2001.
Bunge la nne lina wajumbe 62, yaani 9 kwa kila nchi mwanachama, wakichaguliwa na bunge la nchi husika namna ya kuwakilisha kweli taifa lote, na wengine 8 kutokana na wadhifa wao. Spika ni Martin Ngoga kutoka Rwanda.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bunge la Afrika Mashariki, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.