L

L ni herufi ya 12 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Asili yake ni Lambda ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za L

Historia ya L

Kisemiti asilia
Fimbo la kuchungia ng'ombe
Kifinisia
Lamed
Kigiriki
Lambda
Kietruski
L
Kilatini
L
L  L  L  L  L 

Asili ya alama ni picha andishi iliyoonyesha fimbo la kuchungia ng'ombe. Wafinisia walirahisihsa alama hiyo na kuiita kwa neno lao la fimbo hili "lamed". Wakaitumia kama alama ya sauti "l". Wagiriki wa Kale wakaipokea kama "Lambda" na kubadilisha umbo lake kuwa kama paa ya nyumba.

Waetruski walipendelea umbo la kifinisia kwa kuiandika kama alama ya sauti "l". Waroma wa Kale wakageuza alama na kunyosha mikono yake kuwa L jinsi iliovyo hadi leo.

L  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu L kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Alfabeti ya KigirikiAlfabeti ya KilatiniKiswahili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kondomu ya kikeSaidi NtibazonkizaHistoria ya Kanisa KatolikiSimbaFonetikiWagogoVivumishi vya pekeeUjerumaniElizabeth MichaelMizimuHistoria ya IranHistoria ya UturukiSemiSintaksiOrodha ya shule nchini TanzaniaMwanza (mji)FacebookMashariki ya KatiWhatsAppVivumishi vya urejeshiVivumishi vya jina kwa jinaNileBorussia DortmundKajala MasanjaKata (maana)Kanga (ndege)Ngono zembeKitenzi kishirikishiMkoa wa IringaTaswira katika fasihiChuraMahindiNembo ya TanzaniaLongitudoBurundiMafurikoUsawa (hisabati)Saida KaroliOrodha ya majimbo ya MarekaniMnyoo-matumbo MkubwaMkutano wa Berlin wa 1885WashambaaWayahudiBarabaraViunganishiSarufiOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMbeya (mji)Utawala wa Kijiji - TanzaniaKunguruUkristoNathariVivumishi vya kumilikiMisimu (lugha)AlfabetiTabainiAzimio la ArushaUwanja wa Taifa (Tanzania)KonokonoMaktabaPhilip Isdor MpangoVisakaleMtaalaUmoja wa MataifaAunt EzekielOrodha ya miji ya TanzaniaDivaiMkoa wa TaboraFonimuUandishi wa ripotiMkoa wa LindiUsafi wa mazingiraKipandauso🡆 More