T ni herufi ya 20 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.
Alfabeti ya Kilatini (kwa matumizi ya Kiswahili) | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
Aa | Bb | Cc | ch | Dd | ||
Ee | Ff | Gg | Hh | Ii | Jj | |
Kk | Ll | Mm | Nn | Oo | Pp | |
Rr | Ss | Tt | Uu | Vv | ||
Ww | Xx | Yy | Zz |
Asili yake ni Tau ya alfabeti ya Kigiriki.
Kisemiti asilia T | Kifinisia T | Kietruski T | Kigiriki Tau |
---|---|---|---|
Tâw ilikuwa herufi ya mwisho katika alfabeti ua Wasemiti wa kale. Alama yake ilikuwa msalaba. Wagiriki walipopokea alama za Wafinisia waliiita alama Tau na kusukuma mstari wa kulala juu hadi mwanzo wa mstari wa kusimama.
Waetruski na Waroma wa Kale walipokea vile.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article T, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.