R ni herufi ya 18 katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.
Alfabeti ya Kilatini (kwa matumizi ya Kiswahili) | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
Aa | Bb | Cc | ch | Dd | ||
Ee | Ff | Gg | Hh | Ii | Jj | |
Kk | Ll | Mm | Nn | Oo | Pp | |
Rr | Ss | Tt | Uu | Vv | ||
Ww | Xx | Yy | Zz |
Asili yake ni Rho ya Kigiriki.
Kisemiti asilia kichwa (resh) | Kifinisia resh (R) | Kigiriki Rho | Kietruski R | Kilatini R |
---|---|---|---|---|
Asili ya herufi R ni miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia.
Wafinisia walikuwa na alama ya "resh" iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya kichwa wakitumia alama tu kwa sauti ya "r" na kuiita kwa neno lao kwa kichwa yaani "resh". Wagiriki walichukua alama hiyo wakaigeuza na kuiita "rho" bila kujali maana asilia ya "kichwa" ilikuwa sauti tu ya "r".
Waitalia wa kale kama Waetruski wakapokea herufi kwa umbo lililofanana zaidi na Kifinisia. Waroma wakaichukua lakini waligeuza mwelekeo wake kutazama upandde wa kulia wakaongeza mkono mdogo kuwa mguu wa pili kwa kutoifautisha na P.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article R, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.