Rhythm na blues (kutoka Kiing.
Kwa mara ya kwanza, muziki huu ulikuwa ukiimbwa na wasanii Waamerika Weusi. Lakini baadaye ulipendwa na watu wengi na kufikia hata kutumika na makundi na tamaduni za watu mbalimbali duniani.Lakini pia muziki huu ni muziki unaoonekana kuwa mgumu sana kwa wasanii wengi sana maana ukiangalia wengi wanachanganya na Zuku hivyo kupoteza uhalisia wake
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rhythm na blues kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Rhythm na blues, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.