Msokoto wa watoto wachanga (pia inajulikana kama koliki kutoka Kiingereza Baby colic) ni hali ambayo afya ya mtoto huathiriwa hata kumfanya alie mara nyingi na kwa vipindi bila sababu.
Baby colic | |
---|---|
Mwainisho na taarifa za nje | |
Specialty | Pediatrics |
ICD-10 | R10.4 |
ICD-9 | 789.0 |
MedlinePlus | 000978 |
eMedicine | ped/434 |
MeSH | D003085 |
Hali hiyo kwa kawaida inaonekana wiki tatu baada ya kuzaliwa na karibu kutoweka mara nyingi kabla ya mtoto kufika umri wa miezi minne. Kilio mara nyingi hutokea wakati maalum wa siku, hasa jioni.
Uchunguzi mbalimbali umeonyesha kuwa watoto wachanga wana msokoto huo kutokana na ukosefu wa Lactobacillus acidophilus.
Kihistoria, na hadi hivi karibuni, msokoto mara nyingi hutibiwa na paregoric, lakini wanasayansi huonya kwamba uchunguzi zaidi ni muhimu kabla ya tiba maalumu yoyote ipendekezwe.
Msokoto unaweza ukachosha wazazi na familia. Hisia ya kwamba wao hawampi mtoto wao mahitaji yake inaweza kusababisha unyogovu kwa wazazi pia.
Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Msokoto wa watoto wachanga kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Msokoto wa watoto wachanga, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.