Hii orodha ya makabila ya Kenya inatokana na orodha ya lugha za Kenya iliyotolewa na Ethnologue.
Ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Kenya, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Kenya na nchi za jirani.
Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi Kenya kama wakimbizi kutoka vita katika nchi za jirani, wala vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Arabia, Uhindi au nchi nyinginezo.
Asilimia inaonyesha mgao wao ukifananishwa na idadi yote ya Wakenya:
Kuna makabila asilia karibu arubaini nchini Kenya, yakiwemo:
Makabila mengine yasiyo ya Kenya lakini yamekaa nchini kwa miaka mingi ni:
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Orodha ya makabila ya Kenya, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.