Z

Z ni herufi ya mwisho katika alfabeti ya Kilatini ambayo ni pia mwandiko wa Kiswahili cha kisasa.

Alfabeti ya Kilatini
(kwa matumizi ya Kiswahili)
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Asili yake ni Zeta ya alfabeti ya Kigiriki.

Maana za Z

Historia ya Z

Kisemiti asilia
picha ya jambia (silaha)
Kifinisia
Zayin
Kigiriki
Zeta
Kietruski
Z
Kilatini
Z
Z  Z  Z  Z  Z 

Asili ya herufi Z ni miandiko iliyotangulia alfabeti ya Kilatini. Waroma walipokea mwandiko kutoka alfabeti ya Kigiriki kupitia alfabeti za Kiitalia za awali kama Kietruski. Wagiriki walipokea kutoka Wafinisia.

Wafinisia walikuwa na alama ya "zayin" iliyokuwa kiasili picha iliyorahisishwa ya jambia (silaha) wakitumia alama tu kwa sauti ya "dz" na kuiita kwa neno lao kwa silaha hiyo "zayin". Wagiriki walichukua alama hiyo na kuiita "Zeta" bila kujali maana asilia ya "jambia". Kwao imekuwa sauti tu ya "dz". Katika maendeleo ya alfabeti walinamisha herufi hadi kufikia umbo lake.

Waitalia wa kale kama Waetruski wakapokea herufi kwa umbo lililofanana na umbo asilia. Waroma wakaichukua kutoka hapa kwa sauti ya "ts" lakini baadaye hawakutamka sauti hii na Z ikafutwa katika afabetiy a Kiroma.

Ila tu tangu karne ya 1 KK Waroma walipoanza kutawala Ugiriki na kupokea maneno mengi kutoka lugha ya Kigiriki walichukua tena Z kwa kuandika maneno yenye asili ya Kigiriki wakarithi pia umbo la baadaye.

Z  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Z kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Z  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Z kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Alfabeti ya KigirikiAlfabeti ya KilatiniKiswahiliZeta

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uharibifu wa mazingiraEthiopiaKitenzi kikuu kisaidiziSautiMwakaWanyakyusaMartha MwaipajaKupatwa kwa MweziRayvannyUbepariFalme za KiarabuVivumishi vya -a unganifuMimba kuharibikaTenziShuleTafsidaSimba S.C.MziziUhakiki wa fasihi simuliziCleopa David MsuyaTiktokChuiBomu la nyukliaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaUturukiTahajiaVita Kuu ya Pili ya DuniaUNICEFSimuOrodha ya Marais wa TanzaniaAdolf MkendaTafsiriKiingerezaStashahadaRitifaaAfrika ya MasharikiPijiniShinikizo la juu la damuMkutano wa Berlin wa 1885Madhara ya kuvuta sigaraUbongoKumamoto, KumamotoKipepeoKilimanjaro (volkeno)SerikaliMamba (mnyama)RaiaMvuaKata za Mkoa wa Dar es SalaamTungoUti wa mgongoUandishi wa ripotiAfrikaArusha (mji)Wilaya ya IlalaAlfabetiBabuUtohoziDhima ya fasihi katika maishaKiraiTanzaniaMofimuMalebaNahauFasihi simuliziKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya MasharikiMkoa wa RukwaNomino za dhahaniaNuktambiliMboo🡆 More