Ch ni alama ya tatu katika alfabeti ya Kiswahili cha kisasa inayofuata menginevyo utaratibu wa alfabeti ya Kilatini.
Alfabeti ya Kilatini (kwa matumizi ya Kiswahili) | ||||||
---|---|---|---|---|---|---|
Aa | Bb | Cc | ch | Dd | ||
Ee | Ff | Gg | Hh | Ii | Jj | |
Kk | Ll | Mm | Nn | Oo | Pp | |
Rr | Ss | Tt | Uu | Vv | ||
Ww | Xx | Yy | Zz |
Ch ni maungano ya herufi mbili za Kilatini ambazo hutazamiwa kama herufi moja katika mwandiko wa Kiswahili. Kilatini chenyewe hakijui umoja huu lakini ni kawaida pia katika lugha mbalimbali
kama sauti ya "tsh"
kama sauti ya (kh)
Kifupi cha CH kwa magari ni alama ya gari kutoka Uswisi (Confoederatio Helvetica)
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ch, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.