Mkoa Wa Dar Es Salaam

Mkoa wa Dar es Salaam ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania.

Umepakana na Mkoa wa Pwani pande zote barani na Bahari ya Hindi upande wa mashariki.

Mkoa Wa Dar Es Salaam
Mahali pa Mkoa wa Dar es Salaam katika Tanzania.
Mkoa Wa Dar Es Salaam
Dar es Salaam miaka ya 1930.
Mkoa Wa Dar Es Salaam
Uwanja wa Taifa
Mkoa Wa Dar Es Salaam
Machweo jijini
Mkoa Wa Dar Es Salaam
Ghorofa ndefu kuliko zote za Afrika Mashariki.
Mkoa Wa Dar Es Salaam
Makao makuu ya Benki kuu ya Tanzania.
Mkoa Wa Dar Es Salaam
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.
Mkoa Wa Dar Es Salaam
Shamba la Mungu.

Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi duniani.

Ni km² 1,800 pamoja na visiwa vidogo 8 na eneo la bahari kati ya pwani na visiwa hivyo. Eneo la nchi kavu pekee ni km² 1,393.

Kuna wilaya tano: City (wakazi 1,649,912), Kinondoni (wakazi 982,328), Temeke (wakazi 1,346,674), Kigamboni (wakazi 317,902) na Ubungo (wakazi 1,086,912). Kila moja inaangaliwa kama mji. Takwimu hizo ni za sensa ya mwaka 2022, ambapo kwa jumla idadi ya wakazi ilikuwa 5,383,728 .

Wakazi asili wa eneo la mkoa ni Wazaramo ingawa kwa sasa kutokana na kukua na kupanuka kwa jiji, kuna makabila yote ya Tanzania, mbali ya wageni wengi kutoka nchi mbalimbali.

Majimbo ya bunge

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2020 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje


Tags:

Mkoa Wa Dar Es Salaam Majimbo ya bungeMkoa Wa Dar Es Salaam Tazama piaMkoa Wa Dar Es Salaam TanbihiMkoa Wa Dar Es Salaam Viungo vya njeMkoa Wa Dar Es SalaamBahari ya HindiBaraMasharikiMikoaMikoa ya TanzaniaMkoa wa PwaniTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SkeliKatekisimu ya Kanisa KatolikiArsenal FCVirusi vya CoronaAdolf HitlerMfumo wa JuaWema SepetuMartin LutherUzazi wa mpango kwa njia asiliaIyungaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaPesaHisaMkutano wa Berlin wa 1885NyongoMkoa wa Unguja Mjini MagharibiNominoTulia AcksonMtiKenyaBarack ObamaUtumbo mwembambaBaraza la mawaziri TanzaniaMuda sanifu wa duniaHali ya hewaMisemoHistoria ya KanisaNguzo tano za UislamuMaishaSikioMrisho MpotoJangwaSeli za damuShetaniMfumo wa upumuajiMeta PlatformsMilango ya fahamuSimba (kundinyota)IsimilaKukuMwanzo (Biblia)IlluminatiFasihi simuliziWanyaturuJulius NyerereHekalu la YerusalemuVidonda vya tumboMkoa wa KageraAina za udongoUfilipinoWilaya ya TemekeHussein Ali MwinyiUwanja wa Taifa (Tanzania)Kupatwa kwa JuaMsamiatiTashihisiJiniBunge la TanzaniaMawasilianoNgw'anamalundiMbuTwigaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNduniPumuMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaSelemani Said JafoDiamond PlatnumzWagogoTanganyikaMbagala🡆 More