Jimbo Kuu La Dar-Es-Salaam

Umoja wa Mungu Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu) Umwilisho Maisha ya Yesu Msalaba Ufufuko Kupaa Historia ya Wokovu Ufunuo Biblia Mapokeo Ualimu Dogma Neema Dhambi Wokovu Sakramenti Watakatifu Bikira Maria

Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Jimbo Kuu La Dar-Es-Salaam
Imani

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Kuu la Dar-es-Salaam (kwa Kilatini Archidioecesis Daressalaamensis) ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Chini yake kuna kanda ya Kanisa yenye majimbo yafuatayo: Zanzibar, Tanga, Morogoro, Mahenge na Ifakara.

Askofu mkuu wake ni Yuda Thaddeus Ruwa'ichi, O.F.M.Cap..

Historia

Uongozi

  • Maaskofu Wakuu wa Dar-es-Salaam
  • Vicar Apostolic wa Dar-es-Salaam
    • Edgar Aristide Maranta OFMCap (1930 – 1953)
    • Joseph Gabriel Zelger OFMCap (1923 – 1929)
    • Thomas Spreiter OSB (1906 – 1920)
    • Cassian Spiß OSB (1902 – 1905)
  • Prefect Apostolic wa Dar-es-Salaam
    • Padri Maurus Hartmann OSB (1894 – 1902)
    • Padri Bonifatius Fleschutz OSB (1887 – 1891)

Takwimu

Eneo la jimbo lina kilometa mraba 40,000 hivi, ambapo kati ya wakazi 5,798,760 (2017) Wakatoliki ni 1,724,371 (sawa na 29.7%).

Parokia ziko 109, zikihudumiwa na mapadri 285 (81 wanajimbo na 204 watawa), watawa wanaume wasio mapadri ni 268 na wanawake ni 669.

Viungo vya nje

Jimbo Kuu La Dar-Es-Salaam  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Dar-es-Salaam kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Jimbo Kuu La Dar-Es-Salaam HistoriaJimbo Kuu La Dar-Es-Salaam UongoziJimbo Kuu La Dar-Es-Salaam TakwimuJimbo Kuu La Dar-Es-Salaam Viungo vya njeJimbo Kuu La Dar-Es-SalaamBiblia ya KikristoBikira MariaDhambiDogmaHistoria ya WokovuKupaa BwanaMapokeoMsalaba wa YesuMunguMungu BabaMwana wa MunguNeemaRoho MtakatifuSakramentiUalimu wa KanisaUfufuko wa YesuUfunuoUmojaUmwilishoUtatuWatakatifuWokovuYesu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoJakaya KikweteApril JacksonMawasilianoMwakaMchwaMilanoUbaleheSitiariInsha za hojaFasihi andishiUwanja wa Taifa (Tanzania)Mkoa wa MbeyaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaUkimwiSimba S.C.MethaliMiundombinuLuhaga Joelson MpinaUharibifu wa mazingiraMungu ibariki AfrikaStadi za maishaNgono zembeNguruweFisiMpira wa miguuPamboHistoria ya TanzaniaRose MhandoUtendi wa Fumo LiyongoOrodha ya majimbo ya MarekaniOrodha ya vitabu vya BibliaUandishi wa ripotiSikioDemokrasiaMkunduP. FunkMaumivu ya kiunoAlomofuOrodha ya milima mirefu dunianiTupac ShakurOrodha ya nchi kufuatana na wakaziCleopa David MsuyaKata za Mkoa wa Dar es SalaamSanaa za maoneshoAfrikaMajiHurafaWahaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarNandyHaki za wanyamaUchawiOrodha ya nchi za AfrikaPasifikiJokofuLahaja za KiswahiliDivaiHistoria ya UislamuMaana ya maishaUnyevuangaLilithUtumbo mpanaDamuMuundo wa inshaSadakaKhadija KopaMapenzi ya jinsia mojaHistoria ya IranVita vya KageraOrodha ya Marais wa ZanzibarDawa za mfadhaikoIsimu🡆 More