Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Mungu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Mungu ni jina lenye asili ya Kibantu linalotumika kwa yeyote anayesadikiwa katika dini mbalimbali kuwa na uhai wa hali ya juu. Kati ya wafuasi wa dini... |
wa Mungu (kwa Kiebrania: מלכות malkut, kwa Kigiriki: βασιλεία τοῦ theoũ, basileia tou theou) ni istilahi ya Biblia inayomaanisha kazi ya YHWH (Mungu wa... |
Mwenyezi Mungu katika lugha ya Kiswahili ni jina linalotumika kwa Muumba wa kila kitu, Mwenye kuabudiwa kwa haki, kinyume na neno mungu ambalo linamaanisha... |
Mungu Baba ni nafsi ya kwanza ya Mungu katika imani ya Wakristo (isipokuwa Wasiosadiki Utatu). Katika Uyahudi Mungu aliitwa pengine Baba kwa jinsi alivyo... |
Mungu Mwana (kwa Kigiriki Θεός ὁ υἱός, Theos o uios) ni nafsi ya pili ya Utatu Mtakatifu wa Mungu pekee. Dogma hiyo ya Ukristo (madhehebu yote isipokuwa... |
"Mwana wa Mungu" ni jina linalotumiwa katika dini mbalimbali ili kusisitiza uhusiano wa mtu fulani na Mungu au mmojawapo wa miungu. Kwa maana hiyo lilitumika... |
Yohane wa Mungu (8 Machi 1495 – 8 Machi 1550) alikuwa mtawa wa Ureno aliyetoa huduma zake nchini Hispania. Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu... |
Umoja wa Mungu ni hoja iliyotetewa na falsafa na imani ya dini mbalimbali, ya kwamba kuna Mungu mmoja tu, ambaye ni mkuu kabisa kuliko vitu vyote na ni... |
Mama wa Mungu Derzhavnaya (yaani "Anayetawala") ni picha takatifu ya Urusi iliyokadiriwa kuchorwa katika karne ya 18. Ni kati ya zile zinazoheshimiwa... |
Mama wa Mungu (kwa Kigiriki Θεοτόκος, Theotókos; kwa Kilatini Deipara au Dei genetrix, yaani "Mzaa Mungu") ni sifa kuu ambayo Wakristo wengi wanampatia... |
Huruma ya Mungu ni sifa kubwa ya Mwenyezi Mungu ambayo inatangazwa katika dini mbalimbali, hususan Uyahudi, Ukristo na Uislamu. Biblia na Kurani zinalingana... |
Miungu (elekezo toka kwa Mungu mdogo) Miungu (wingi wa mungu) ni jina linalojumlisha wahusika wanaoabudiwa katika dini mbalimbali kama wenye nguvu na enzi juu ya maisha ya binadamu. Huogopwa... |
Neno la Mungu ni namna ambayo wafuasi wa dini kadhaa wanavyotazama misahafu yao ili kusisitiza imani yao ya kuwa hiyo iliandikwa kadiri ya Mungu na kuleta... |
Mars (kutoka Kilatini Mars) alikuwa mungu wa vita katika dini ya Roma ya Kale. Kwa asili aliabudiwa pia kama mungu wa kilimo. Alitazamwa kama mwana wa... |
Amri Kumi (elekezo toka kwa Amri za Mungu) Amri Kumi ni orodha ya amri kuu za Mungu katika Biblia. Za kwanza zinamhusu Mwenyezi Mungu mwenyewe, na zile zinazofuata mpaka mwisho zinahusu jirani... |
Muungano na Mungu kwa njia ya Yesu ni lengo kuu la binadamu wote kadiri ya Ukristo na unatarajiwa kukamilika katika uzima wa milele, lakini unatakiwa... |
Uchaji wa Mungu ni sifa inayoheshimiwa katika dini mbalimbali. Kama kipaji cha Roho Mtakatifu ni utayari wa Mkristo kuangaziwa na Roho Mtakatifu kuhusu... |
Mtumishi wa Mungu ni jina la heshima linalotumika katika Biblia na katika Ukristo kwa mtu anayesadikiwa kumtumikia Mungu kwa namna ya pekee. Katika Biblia... |
Ukanamungu (elekezo toka kwa Ukanaji Mungu) miungu, yaani ni dhana kuwa hakuna Mungu wala miungu. Hivyo ni kinyume cha Utheisti, imani kuwa angalau kuna Mungu mmoja. Asili ya neno Uatheisti, limechipuka... |
9°16′39″S 33°33′19″E / 9.27760°S 33.55515°E / -9.27760; 33.55515 Daraja la Mungu ni daraja kubwa la asili linalounganisha kingo mbili za mto Kiwira kwenye... |