Neno La Mungu

Neno la Mungu ni namna ambayo wafuasi wa dini kadhaa wanavyotazama misahafu yao ili kusisitiza imani yao ya kuwa hiyo iliandikwa kadiri ya Mungu na kuleta kwa usahihi ufunuo wake.

Kwa namna ya pekee Uyahudi na Ukristo vinaita hivyo Biblia.

Zaidi ya hayo, katika Agano Jipya Mtume Yohane anamwita hivyo Yesu Kristo ili kueleza asili yake ya Kimungu kabla ya kuzaliwa binadamu kwa uwezo wa Roho Mtakatifu na kutokana na Bikira Maria.

Neno La Mungu Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DiniImaniMunguUfunuo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa ArushaMitume wa YesuDar es SalaamMabantuOrodha ya nchi kufuatana na wakaziThrombosi ya kina cha mishipaBinamuUKUTAJangwaJamhuri ya Watu wa ZanzibarUjimaUhuru KenyattaHistoria ya Kanisa KatolikiUkooMagonjwa ya kukuOrodha ya viongoziLGBTAntibiotikiMkoa wa KigomaMkoa wa MbeyaRoho MtakatifuBinadamuAina za manenoMkoa wa GeitaWakingaHarakati za haki za wanyamaSakramentiLigi Kuu Tanzania BaraHaki za wanyamaKatekisimu ya Kanisa KatolikiNidhamuKamala HarrisMofimuMafua ya kawaidaRamaniSeli za damuTovutiThenasharaMilaWaheheKadi za mialikoTanganyika (ziwa)LisheUjerumaniEverest (mlima)Clatous ChamaTarakilishiMatamshiJumuiya ya Afrika MasharikiArusha (mji)KiambishiTheluthiUtamaduni wa KitanzaniaMbeguWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya shule nchini TanzaniaTashihisiUgandaMapambano ya uhuru TanganyikaJKongoshoOrodha ya Magavana wa TanganyikaUandishi wa inshaMalariaAurora, ColoradoRushwaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaSaratani ya mlango wa kizaziWachaggaOrodha ya Marais wa TanzaniaJeshiNomino za dhahaniaLionel MessiMrisho NgassaNovatus DismasKiumbehaiMamba (mnyama)Vivumishi vya -a unganifu🡆 More