Mkoa wa Geita ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania. Umepakana na mikoa ya Kagera na Kigoma upande wa magharibi, Shinyanga upande wa kusini na Mwanza upande wa mashariki. Ziwa la Viktoria Nyanza liko kaskazini.
Mkoa wa Geita | |
Mahali pa Mkoa wa Geita (nyekundu) katika Tanzania | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Wilaya | |
Mji mkuu | Geita |
Serikali | |
- Mkuu wa Mkoa | |
Idadi ya wakazi (2022) | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,977,608 |
Makao makuu ya mkoa yapo Geita mjini.
Kabla ya kuanzishwa mkoa mpya wa Geita, eneo hili lilikuwa sehemu ya mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Kagera. Mkoa wa Geita ulikadiriwa kuwa na wakazi 1,882,141 mnamo mwaka 2015. Kwa sasa wakazi ni 2,977,608 (sensa ya mwaka 2022 ) katika wilaya 6.
Wilaya za mkoa huo mpya ni:
Makabila makubwa katika mkoa huu ni Wasukuma, Wasumbwa, Walongo na Wazinza.
Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi yafuatayo:
Arusha | Dar es Salaam | Dodoma | Geita | Iringa | Kagera | Katavi | Kigoma | Kilimanjaro | Lindi | Manyara | Mara | Mbeya | Morogoro | Mtwara | Mwanza | Njombe | Pemba Kaskazini | Pemba Kusini | Pwani | Rukwa | Ruvuma | Shinyanga | Simiyu | Singida | Songwe | Tabora | Tanga | Unguja Kaskazini | Unguja Kusini | Unguja Mjini Magharibi |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mkoa wa Geita, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.