Mtume Yohane

Yohane mwana wa Zebedayo alikuwa mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu, ambaye alipendwa na mwalimu wao kuliko wenzake wote.

Mtume Yohane
Yohane mtume na mwinjili (mchoro wa Simone Martini)
Mitume wa Yesu
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
Jesus
Yesu Kristo na Ukristo

Umwilisho  • Utoto wa Yesu  • Ubatizo
Arusi ya Kana • Utume wa Yesu • Mifano ya Yesu  • Miujiza ya Yesu
Kugeuka sura • Karamu ya mwisho • Msalaba wa Yesu  • Maneno saba
Kifo cha Yesu  • Ufufuko wa Yesu
Kupaa mbinguni  • Ujio wa pili
Injili  • Majina ya Yesu katika Agano Jipya  • Yesu kadiri ya historia  • Tarehe za maisha ya Yesu • Kristolojia

Mazingira ya Yesu

Wayahudi • Kiaramu • Bikira Maria • Yosefu (mume wa Maria) • Familia takatifu • Ukoo wa Yesu • Ndugu wa Yesu • Yohane Mbatizaji

Mitazamo juu ya Yesu

Mitazamo katika Agano Jipya · Mitazamo ya Kikristo • Mitazamo ya Kiyahudi • Mitazamo ya Kiislamu • Yesu katika sanaa

Mapokeo ya Kikristo yanamuona kuwa mwandishi wa Injili ya Yohane, wa barua tatu (Waraka wa kwanza wa Yohane, Waraka wa pili wa Yohane, Waraka wa tatu wa Yohane) na wa Kitabu cha Ufunuo.

Maisha

Alizaliwa na Salome baada ya Yakobo Mkubwa mwanzoni mwa karne ya 1 B.K. akafa mkongwe mwishoni mwa karne hiyo huko Efeso (katika Uturuki wa leo).

Kabla ya kumfuata Yesu Kristo alikuwa mvuvi na mfuasi wa Yohane Mbatizaji.

Ndiye shahidi mkuu wa miaka mitatu hivi ya utume wa Yesu, akiwa wa kwanza kumfuata (pamoja na Mtume Andrea), mshiriki wa matukio ya pekee ya mwalimu wake (kama alipogeuka sura mlimani), mtume pekee aliyesimama chini ya msalaba, wa kwanza kusadiki ufufuko wa Yesu hata kabla hajamuona.

Kutokana na udhati wa teolojia yake alifananishwa na tai.

Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu karibu yote ya Ukristo kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Desemba.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Thenashara, Mitume Kumi na Wawili – tafsiri ya P. A. Bunju – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda 1984 – ISBN 9976-63-030-1

Viungo vya nje

Mtume Yohane 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Mtume Yohane  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtume Yohane kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Mtume Yohane MaishaMtume Yohane Tazama piaMtume Yohane TanbihiMtume Yohane MarejeoMtume Yohane Viungo vya njeMtume YohaneMitume wa YesuMwalimuZebedayo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Saratani ya mlango wa kizaziVielezi vya namnaVivumishi vya -a unganifuInshaWilaya ya TemekeMaudhuiOrodha ya Marais wa ZanzibarZabibuHistoriaRita wa CasciaKupatwa kwa JuaNgono zembeJichoWanyama wa nyumbaniUsafi wa mazingiraVidonge vya majiraAunt EzekielMishipa ya damuWilaya ya NyamaganaSexHafidh AmeirKaaAgostino wa HippoNduniMkoa wa ArushaChama cha MapinduziDaudi (Biblia)Kidole cha kati cha kandoUlimwenguManchester CityMaghaniKanye WestBendera ya ZanzibarJamhuri ya Watu wa ChinaZuchuWaluguruMuungano wa Tanganyika na ZanzibarWanyaturuCristiano RonaldoHussein Ali MwinyiLeonard MbotelaTanganyika (maana)Ukwapi na utaoKiunguliaWahayaChuo Kikuu cha Dar es SalaamKisimaNileMfumo wa upumuajiC++Injili ya MarkoWikipediaNyukiMbooJava (lugha ya programu)Mfuko wa Mawasiliano kwa WoteHifadhi ya SerengetiNguruweNomino za kawaidaArusha (mji)MethaliUbaleheTume ya Taifa ya UchaguziNimoniaMnyoo-matumbo MkubwaSayansiRedioMwaniTanzaniaTarakilishiSimba S.C.Viwakilishi vya kuonesha🡆 More