Mwani

Makundi bila nasaba:

Mwani
Saladi ya bahari (Ulva lactuca)
Saladi ya bahari (Ulva lactuca)
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota
Ngazi za chini

  • Archaeplastida
    • Chlorophyta (Miwani kijani)
    • Rhodophyta (Miwani myekundu)
    • Glaucophyta
  • Rhizaria, Excavata
    • Chlorarachniophytes
    • Euglenids
  • Chromista, Alveolata
    • Heterokonts
      • Bacillariophyceae (Diatomu)
      • Axodine
      • Bolidomonas
      • Eustigmatophyceae
      • Phaeophyceae (Miwani kahawia)
      • Chrysophyceae (Miwani dhahabu)
      • Raphidophyceae
      • Synurophyceae
      • Xanthophyceae (Miwani kijaninjano)
    • Cryptophyta
    • Dinoflagellates
    • Haptophyta

Miani (kwa Kiing. algae) ni kundi kubwa la viumbehai vinavyofanana na mimea. Spishi ndogo huitwa viani au vijimea. Zina uwezo wa kujilisha kwa njia ya usanisinuru yaani hutengeneza chakula chao kwa msaada wa mwanga wa jua. "Viani kijanibuluu" siyo viani vya kweli lakini kundi la bakteria: Sianobakteria.

Kundi hili si kundi rasmi la kibiolojia au taksoni, kwa sababu vikundi vya miani havina na uhusiano mara kwa mara au ni polifiletiki (Kiing. polyphyletic).

Kuna aina nyingi sana za miani. Nyingine zina seli moja tu na nyingine zina seli nyingi. Spishi kubwa zinajulikana sana na huitwa miani tu au mwani wa bahari. Katika uwezo wa usaninisinuru zinalingana na mimea lakini hukosa viungo vingi vilivyo kawaida kati ya mimea hivyo katika taksonomia au mpangilio wa spishi hazihesabiwi kati ya mimea.

Miwani haina majani, mizizi wala viungo vyingine vya mimea.

Picha

Marejeo

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Korea KusiniInshaNabii IsayaAngolaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaLugha ya kwanzaUtawala wa Kijiji - TanzaniaVielezi vya idadiTenziNahauPapaFasihi andishiMusaMilaNgeliNileWanyaturuDuniaUsawa (hisabati)Vipera vya semiMtandao wa kijamiiWaheheMjombaJacob StephenUtapiamloHistoria ya Kanisa KatolikiDoto Mashaka BitekoKatibaSimbaYoung Africans S.C.Orodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaUhindiMbwa-mwitu DhahabuMalawiMbaraka MwinsheheMenoOrodha ya Watakatifu WakristoUgonjwa wa kuharaOrodha ya miji ya TanzaniaOrodha ya kampuni za TanzaniaZiwa Viktoria17 ApriliMuundoOrodha ya makabila ya TanzaniaRaiaMaana ya maishaKipepeoZanzibar (Jiji)Kanisa KatolikiIsraelKunguruWanyamweziUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMtandao wa kompyutaHistoria ya KiswahiliJeshiNamba za simu TanzaniaBibliaDaudi (Biblia)Muda sanifu wa duniaZuchuHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNomino za pekeeUkoloniWaluguruWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)MofolojiaMartin LutherMtoto wa jichoUjimaMarekaniOrodha ya vitabu vya BibliaKarafuuPasifikiBukayo SakaBabeli🡆 More