Utamaduni Wa Kitanzania

Utamaduni ni mfumo wa maisha ya watu jinsi wanavyoishi na maendeleo yao kijamii, kiuchumi, kisiasa n.k.

Utamaduni Wa Kitanzania
Utamaduni wa Kitanzania
Utamaduni Wa Kitanzania
Shanga za kimasai

Tanzania ni moja kati ya nchi zinazosifika duniani kwa kulinda maadili yao.

Kuna makabila yasiyopungua 120 ambayo yote hutunza mila na desturi zao kwa kiasi tofautitofauti.

Mambo yanayofanya Tanzania kutunza utamaduni wake ni haya: heshima iliyopo miongoni mwa jamii hii husaidia watu kuwa na maendeleo kwa sababu ya heshima hiyo.

Nyingine ni utunzaji wa watoto, wazee, vijana pamoja na walemavu ambao wote ni mazao ya jamii ambapo kila mtu katika jamii hufunzwa kuwahudumia watu waliopo katika jamii yake.

Tatu ni mavazi ya heshima ambayo kila mtu anapaswa kuvaa na si mavazi yanayovunja maadili ya taifa.

Uwajibikaji miongoni mwa wanajamii katika shughuli za kijamii ambazo husaidia kukuza uchumi wa nchi kwa ujumla hivyo jamii ndiyo nguvu kazi katika nchi hasa nchini Tanzania.

Tanbihi

Utamaduni Wa Kitanzania  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utamaduni wa Kitanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Maendeleo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KataHistoria ya WokovuJipuDesturiHadithiDivaiMfumo wa mzunguko wa damuMkoa wa LindiUgandaOrodha ya Watakatifu WakristoKidole cha kati cha kandoUhuru wa TanganyikaUmoja wa AfrikaNafakaBarabaraVichekeshoBundiUchapajiShomari KapombeMkoa wa MbeyaOrodha ya Marais wa TanzaniaSkeliKukuUjerumaniTabiaMivighaMtandao wa kompyutaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaLahaja za KiswahiliHoma ya iniTungo kishaziSilabiSarufiUandishi wa barua ya simuMtakatifu PauloNuktambiliMalawiJay MelodyAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuMkoa wa MwanzaUEFAHistoria ya IranKunguniHuduma za Maktaba TanzaniaKiraiPijini na krioliVirusi vya UKIMWIMange KimambiHarusiMbwa-mwitu DhahabuUmoja wa Muungano wa AfrikaUwanja wa Taifa (Tanzania)Ligi ya Mabingwa UlayaKiambishiWema SepetuKilimanjaro (volkeno)BundukiKonsonantiNyumbaKitomeoKorea KusiniBahari ya HindiHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMziziKitaluUgonjwaKitenzi kikuuMapambano ya uhuru TanganyikaKaabaNgiriOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUkoloniWangoniKajala MasanjaKamusi za KiswahiliAfrikaTeknolojia🡆 More