Mungu Mwana (kwa Kigiriki Θεός ὁ υἱός, Theos o uios) ni nafsi ya pili ya Utatu Mtakatifu wa Mungu pekee.
Dogma hiyo ya Ukristo (madhehebu yote isipokuwa Wasiosadiki Utatu) inamkiri Yesu kuwa Mungu sawa na Mungu Baba na Roho Mtakatifu.
Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli inamkiri Mungu Mwana "aliyezaliwa na Baba tangu milele yote", alikuwepo kabla ya kujifanya binadamu tumboni mwa Bikira Maria.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mungu Mwana kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mungu Mwana, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.