Feisal Salum (alizaliwa 11 Januari 1998) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania.
Ameanza kucheza mpira akiwa na miaka 17. Alianza kuchezea timu ya mtaani katika michuano ya"Ramadhan Cup"baada ya michuano alifanikiwa kwenda kuchezea katika timu ya Young Africans S.C. Pia aliwahi kucheza timu moja na mchezaji Haruna Niyonzima wa Rwanda kwa sasa ni mchezaji wa Azam.. Jina lake la umaarufu anajuulikana kama "Feitoto"
Mwaka 2017 alicheza kombe la CECAFA Cup akiwa na timu Tanzania visiwani (Zanzibar national football team). Mwaka 2018 aliichezea timu ya taifa ya Tanzania.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Feisal Salum kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Feisal Salum, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.