Kanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli

Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli (pia Imani ya Nikea) ni fomula rasmi ambayo ilipitishwa na Mtaguso wa kwanza wa Nisea (325) ikakamilishwa na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli (381) ili kubainisha imani sahihi ya Kanisa Katoliki dhidi ya uzushi, hasa wa Ario na wafuasi wake.

Kanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli
Nakala ya kale zaidi ya Kanuni ya Nisea, karne ya 5.
Kanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli
Picha takatifu ya karne ya 17 kutoka Urusi inayoonyesha mafundisho ya Nasadiki hiyo.

Katima mazingira hayo, lengo kuu lilikuwa kwanza kumkiri Yesu kama Mungu kweli sawa na Baba, halafu kwamba Roho Mtakatifu anastahili kuabudiwa pamoja na Baba na Mwana (Utatu Mtakatifu).

Hadi leo hiyo kanuni ya imani inatumika sana katika madhehebu mengi ya Ukristo, hata kama sehemu ya liturujia.

Tafsiri ya Kiswahili

Imani ya Nisea (umbo la Kanisa Katoliki) Imani ya Nikea (umbo la Kanisa la Kilutheri)
Nasadiki kwa Mungu mmoja, Baba mwenyezi, muumba wa mbingu na dunia na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Twamwamini Mungu mmoja, Baba Mwenyezi, Muumba mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Nasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristo, Mwana pekee wa Mungu, aliyezaliwa kwa Baba tangu milele yote. Mungu aliyetoka kwa Mungu, mwanga kwa mwanga, Mungu kweli kwa Mungu kweli, aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenye umungu mmoja na Baba, ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.


Alishuka kutoka mbinguni, kwa ajili yetu sisi wanadamu, na kwa ajili ya wokovu wetu.

Akapata mwili kwa uwezo wa Roho Mtakatifu kwake yeye Bikira Maria, akawa mwanadamu.

Akasulubiwa kwa ajili yetu sisi, kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato; akateswa, akafa na akazikwa.

Siku ya tatu akafufuka, kadiri ya Maandiko, akapaa mbinguni, ameketi kuume kwa Baba.

Atakuja tena kwa utukufu, kuwahukumu wazima na wafu, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.

Twamwamini Bwana mmoja, Yesu Kristo, Mwana wa pekee wa Mungu, Mwana wa Azali wa Baba: yu Mungu kutoka Mungu, yu Nuru kutoka Nuru, yu Mungu kweli kutoka Mungu kweli; Mwana wa Azali asiyeumbwa, mwenye uungu mmoja na Baba: Kwa Yeye huyu vitu vyote viliumbwa.

Aliyeshuka kutoka mbinguni kwa ajili yetu wanadamu na kwa wokovu wetu;

akatwaa mwili kwa uweza wa Roho Mtakatifu katika Bikira Mariamu, akawa mwanadamu:

Akasulibiwa kwaajili yetu zamani za Pontio Pilato; aliteswa, akafa, akazikwa.

Siku ya tatu akafufuka kama yanenavyo Maandiko Matakatifu: Akapaa mbinguni; ameketi mkono wa kuume wa Baba:

Naye atakuja tena kwa utukufu kuwahukumu walio hai una wafu. Na ufalme wake hauna mwisho;


Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Bwana na mleta uzima: atokaye kwa Baba na Mwana. Anayeabudiwa na kutukuzwa, pamoja na Baba na Mwana: aliyenena kwa vinywa vya manabii.

Nasadiki kwa Kanisa moja, takatifu, katoliki, la Mitume.

Naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi.

Nangojea na ufufuko wa wafu, na uzima wa milele ijayo. Amina.

Twamwamini Roho Mtakatifu Bwana mtoa uzima, atokaye katika Baba na Mwana, anayeabudiwa na kutukuzwa pamoja na Baba na Mwana, aliyenena kwa vinywa vya manabii;

Twaamini Kanisa moja, takatifu, la Kikristo la ulimwengu wote na la kimitume.

Twakiri ubatizo mmoja kwa ondoleo la dhambi,

Twatazamia kufufuliwa kwa wafu, na uzima wa ulimwengu ujao. Amen


Tofauti kati ya toleo la Nisea na lile la Konstantinopoli

Tunaweza kulinganisha matoleo hayo mawili ya Kigiriki kama ifuatavyo:

Mtaguso wa kwanza wa Nisea (325) Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli (381)
Πιστεύομεν εἰς ἕνα θεὸν Πατέρα παντοκράτορα, πάντων ὁρατῶν τε και ἀοράτων ποιητήν. Πιστεύομεν εἰς ἕνα θεὸν Πατέρα παντοκράτορα, ποιητὴν οὐρανοῦ καὶ γῆς, ὁρατῶν τε πάντων καὶ ἀοράτων.
Πιστεύομεν εἰς ἕνα κύριον Ἰησοῦν Χριστόν, τὸν υἱὸν τοῦ θεοῦ, γεννηθέντα ἐκ τοῦ Πατρὸς μονογενῆ, τοὐτέστιν ἐκ τῆς οὐσίας τοῦ Πατρός, θεὸν ἐκ θεοῦ ἀληθινοῦ, γεννηθέντα, οὐ ποιηθέντα, ὁμοούσιον τῷ Πατρί Καὶ εἰς ἕνα κύριον Ἰησοῦν Χριστόν, τὸν υἱὸν τοῦ θεοῦ τὸν μονογενῆ, τὸν ἐκ τοῦ Πατρὸς γεννηθέντα πρὸ πάντων τῶν αἰώνων, φῶς ἐκ φωτός, θεὸν ἀληθινὸν ἐκ θεοῦ ἀληθινοῦ, γεννηθέντα οὐ ποιηθέντα, ὁμοούσιον τῷ Πατρί·
δι' οὗ τὰ πάντα ἐγένετο, τά τε ἐν τῷ οὐρανῷ καὶ τὰ ἐπὶ τῆς γῆς δι' οὗ τὰ πάντα ἐγένετο·
τὸν δι' ἡμᾶς τοὺς ἀνθρώπους καὶ διὰ τὴν ἡμετέραν σωτηρίαν κατελθόντα καὶ σαρκωθέντα καὶ ἐνανθρωπήσαντα, τὸν δι' ἡμᾶς τοὺς ἀνθρώπους καὶ διὰ τὴν ἡμετέραν σωτηρίαν κατελθόντα ἐκ τῶν οὐρανῶν καὶ σαρκωθέντα ἐκ Πνεύματος Ἁγίου καὶ Μαρίας τῆς παρθένου καὶ ἐνανθρωπήσαντα,
παθόντα, καὶ ἀναστάντα τῇ τρίτῃ ἡμέρᾳ, καὶ ἀνελθόντα εἰς τοὺς οὐρανούς, σταυρωθέντα τε ὑπὲρ ἡμῶν ἐπὶ Ποντίου Πιλάτου, καὶ παθόντα καὶ ταφέντα, καὶ ἀναστάντα τῇ τρίτῃ ἡμέρα κατὰ τὰς γραφάς, καὶ ἀνελθόντα εἰς τοὺς οὐρανούς, καὶ καθεζόμενον ἐκ δεξιῶν τοῦ Πατρός,
καὶ ἐρχόμενον κρῖναι ζῶντας καὶ νεκρούς. καὶ πάλιν ἐρχόμενον μετὰ δόξης κρῖναι ζῶντας καὶ νεκρούς·
οὗ τῆς βασιλείας οὐκ ἔσται τέλος.
Καὶ εἰς τὸ Ἅγιον Πνεῦμα. Καὶ εἰς τὸ Πνεῦμα τὸ Ἅγιον, τὸ κύριον, (καὶ) τὸ ζῳοποιόν, τὸ ἐκ τοῦ πατρὸς ἐκπορευόμενον, τὸ σὺν Πατρὶ καὶ Υἱῷ συμπροσκυνούμενον καὶ συνδοξαζόμενον, τὸ λαλῆσαν διὰ τῶν προφητῶν. Εἰς μίαν, ἁγίαν, καθολικὴν καὶ ἀποστολικὴν ἐκκλησίαν· ὁμολογοῦμεν ἓν βάπτισμα εἰς ἄφεσιν ἁμαρτιῶν· προσδοκοῦμεν ἀνάστασιν νεκρῶν, καὶ ζωὴν τοῦ μέλλοντος αἰῶνος. Ἀμήν.
Τοὺς δὲ λέγοντας, ὅτι ἦν ποτε ὅτε οὐκ ἦν, καὶ πρὶν γεννηθῆναι οὐκ ἦν, καὶ ὅτι ἐξ οὐκ ὄντων ἐγένετο, ἢ ἐξ ἑτέρας ὑποστάσεως ἢ οὐσίας φάσκοντας εἶναι, [ἢ κτιστόν,] τρεπτὸν ἢ ἀλλοιωτὸν τὸν υἱὸν τοῦ θεοῦ, [τούτους] ἀναθεματίζει ἡ καθολικὴ [καὶ ἀποστολικὴ] ἐκκλησία.

Suala la Filioque

Mwishoni mwa karne ya 6, baadhi ya makanisa ya Kilatini yaliongeza neno Filioque (na (kwa) Mwana) yakifundisha kwamba Roho Mtakatifu anatoka kwa Mungu Baba na pia kwa Mungu Mwana. Badiliko hilo lilipingwa na Makanisa ya Kiorthodoksi kama upotoshaji wa imani juu ya mahusiano kati ya nafsi tatu za Mungu

Idara husika ya Kanisa Katoliki huko Vatikano iliweka wazi mwaka 1995 kwamba, kama maneno ya Kigiriki καὶ τοῦ Υἱοῦ ("na kwa Mwana") yangeongezwa kwa ἐκπορεύομαι yangekuwa ya kizushi kweli lakini neno Filioque si la kizushi likiongezwa kwa neno la Kilatini procedit kwa kuwa hilo si sawa na ἐκπόρευμαι

Tanbihi

Marejeo

  • Ayres, Lewis (2006). Nicaea and Its Legacy. Oxford: Oxford University Press. ISBN 0-19-875505-8. 
  • A. E. Burn, The Council of Nicaea (1925)
  • G. Forell, Understanding the Nicene Creed (1965)
  • Kelly, J. (1982). Early Christian Creeds. City: Longman Publishing Group. ISBN 0-582-49219-X. 

Viungo vya nje

Kanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanuni ya Imani ya Nisea-Konstantinopoli kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli Tafsiri ya KiswahiliKanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli Tofauti kati ya toleo la Nisea na lile la KonstantinopoliKanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli Suala la FilioqueKanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli TanbihiKanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli MarejeoKanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli Viungo vya njeKanuni Ya Imani Ya Nisea-Konstantinopoli325381FomulaImani sahihiKanisa KatolikiMtaguso wa kwanza wa KonstantinopoliMtaguso wa kwanza wa NiseaUzushi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa MwanzaTovutiKihusishiGhanaUsiku wa PasakaKrismasiBarua rasmiJumaAgano la KaleFaraja KottaAfrika Mashariki 1800-1845Nabii IsayaZuhura YunusKipaimaraAlfabetiUfufuko wa YesuKalenda ya KiyahudiMapinduzi ya ZanzibarNyegereKylian MbappéMadawa ya kulevyaNamba ya mnyamaNdoaUkwapi na utaoShomari KapombeUgonjwa wa kuharaWaanglikanaUkabailaMkoa wa MtwaraNgw'anamalundiRihannaBiasharaJackie ChanLeopold II wa UbelgijiMsumbijiMbuga za Taifa la TanzaniaDr. Ellie V.DInstagramMajira ya baridiGesi asiliaZabibuFonimuFonetikiUjimaVivumishi vya sifaUzazi wa mpango kwa njia asiliaLuis MiquissoneBasilika la Mt. PauloUchawiUpepoOrodha ya makabila ya TanzaniaAsiaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKumaAsiliMshororoNgonjeraHarmonizeTreniKiambishiHaki za binadamuDodoma (mji)NguvaRohoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKataOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaHomanyongo CMkondo wa umemeMwaka wa KanisaTarehe za maisha ya YesuShirika la Utangazaji TanzaniaFutariIsraeli ya Kale🡆 More