Baba ni mwanamume aliyemzaa mtoto au anamlea.
Katika uzazi, baba ndiye anayesababisha jinsia ya mtoto kwa kumrithisha kromosomu Y (mtoto wa kiume) au kromosomu X tu (mtoto wa kike).
Saikolojia inaonyesha pia umuhimu wa kuwepo kwa baba mwenye pendo, akishirikiana na mama, katika kukua kwa mtoto.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Baba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.