Faraja Kotta

Faraja Kotta (amezaliwa Dar es Salaam, 6 Mei 1985) alikuwa mrembo wa Tanzania mwaka 2004.

Kotta ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto wanne.

Elimu yake ya msingi aliipata katika shule ya msingi Olympio iliyopo jijini Dar es Salaam, baadae kujiunga na shule ya sekondari St Francis iliyoko mkoani Mbeya kisha kuendelea na elimu ya kidato cha 5 na 6 katika shule ya sekondari ya St Mary's Mazinde Juu, iliyoko Lushoto, Tanga, Tanzania.

Historia ya Urembo

Kotta aliwahi kuwa "Miss Ubungo" na baadae kuwa "Miss Kinondoni", baada ya kuwa Miss Kinondoni akaja kuchaguliwa kuwa "Miss Tanzania" kwa mwaka wa 2004.

Kazi Tofauti na Urembo

Kotta ni Mwanachama wa "Youth Executive Committee" ambayo ipo chini ya Youth Net Tanzania, na pia ni Program Officer wa kipindi cha Njia Panda ambapo anafuatilia wale wananchi wanaojitokeza na matatizo na kuhakikisha wamesaidiwa na vipi wanaendelea.

Maisha Binafsi

Faraja tarehe 30 novemba 2007 alifunga ndoa na mbunge wa Singida, Lazaro Nyalandu.

Viungo vya nje

Tags:

Faraja Kotta Historia ya UremboFaraja Kotta Kazi Tofauti na UremboFaraja Kotta Maisha BinafsiFaraja Kotta Viungo vya njeFaraja Kotta198520046 MeiDar es SalaamTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

RohoDalufnin (kundinyota)Kutoka (Biblia)HomoniUgandaMnyamaWachaggaWilaya ya KinondoniLahajaOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMuda sanifu wa duniaNyegeHedhiUsafi wa mazingiraFasihi andishiViwakilishi vya kumilikiLiverpoolMohamed HusseinKimeng'enyaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiMagharibiTovutiUkristo nchini TanzaniaKata za Mkoa wa Dar es SalaamHistoria ya IranOrodha ya milima ya TanzaniaMikoa ya TanzaniaAzimio la ArushaAgano JipyaKitenziMuundoWilaya za TanzaniaUongoziKiongoziMkoa wa TaboraNominoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiUkoloniUpendoPasifikiWayahudiMkopo (fedha)IniUyahudiMoses KulolaKitenzi kikuu kisaidiziNg'ombeKisaweLugha za KibantuMtandao wa kompyutaNembo ya TanzaniaNambaKaaMkoa wa KilimanjaroMafumbo (semi)Matumizi ya lugha ya KiswahiliUkristo barani AfrikaIkwetaMaumivu ya kiunoWingu (mtandao)Vielezi vya namnaWashambaaViwakilishiHistoriaBurundiRedioMwanza (mji)UshairiWilaya ya TemekeSkeli🡆 More