Miss Tanzania

Miss Tanzania ni shindano la kitaifa la Urembo nchini Tanzania.

Historia

Shindano hilo ilianza mwaka 1967. Mara ya kwanza, washiriki katika shindano hilo wote walitoka jijini Dar es Salaam. Mshindi wa kwanza wa mwaka 1967 alikuwa Theresa Shayo.

Washindi wa taji la Miss Tanzania na matokeo yao katika shindano la Urembo la Kimataifa

  •       : Katajwa kama Mshindi
  •       : Katajwa katika 5 au 6 bora.
  •       : Katajwa katika 20 au 40 bora.
  •       : Katajwa kama mshindi wa taji maalum.
      Mshindi wa Miss Tanzania anawakilisha nchi katika shindano la Miss World. Asipokubalika (kutokana na umri) anatumwa mwingine.
Mwaka Miss Tanzania Matokeo katika shindano la Miss World Taji maalumu
2025 Tracy Nabukeera TBA TBA
2024 Halikufanyika
2023 Halima Kopwe Top 40
  • Beauty With a Purpose (Top 10)
2022 Juliana Rugumisa Unplaced
2019 Sylvia Sebastian Unplaced
  • Miss World Talent (Top 27)
2018 Queen Elizabeth Makune Unplaced
2017 Julitha Kabete Unplaced
  • Beauty with a Purpose (Top 20)
2016 Diana Edward Lukumai Unplaced
2015 Lilian Kamazima Unplaced
  • Beauty With a Purpose (Top 10)
2014 Happiness Watimanywa Unplaced
  • The People's Choice (1st Runner-up)
2013 Brigitte Alfred Lyimo Unplaced
  • Beauty with a Purpose (2nd Runner-up)
2012 Lisa Jensen Unplaced
  • Multimedia Award (Top 10)
  • Miss World Top Model (Top 56)
2011 Salha Kifai Unplaced
  • Beauty With a Purpose (Top 30)
2010 Genevieve Emmanuel Mpangala Unplaced
2009 Miriam Gerald Unplaced
2008 Nasreen Karim Unplaced
2007 Richa Adhia Unplaced
2006 Wema Sepetu Unplaced
2005 Nancy Sumari Top 6
  • Miss World Africa
2004 Faraja Kotta Unplaced
2003 Sylvia Bahame Unplaced
2002 Angela Damas Unplaced
2001 Happiness Magese Unplaced
2000 Jacqueline Ntuyabaliwe Unplaced
1999 Hoyce Temu Unplaced
1998 Basila Mwanukuzi Unplaced
1997 Saida Kessy Unplaced
1996 Shose Sinare Unplaced
1995 Emily Adolf Unplaced
1994 Aina Maeda Unplaced
1967 Theresa Shayo Unplaced

Marejeo

Tags:

TanzaniaUzuri

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Masafa ya mawimbiRufiji (mto)Stadi za lughaZiwa ViktoriaUturukiMnyoo-matumbo MkubwaHistoria ya KiswahiliAfrika Mashariki 1800-1845Wilaya ya UbungoNgiriRaiaMungu ibariki AfrikaWingu (mtandao)LakabuMivighaKumaNusuirabuFonolojiaViwakilishiRitifaaPumuAli KibaAlama ya uakifishajiKupatwa kwa JuaUshairiAfrikaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMohammed Gulam DewjiNyangumiWema SepetuOrodha ya makabila ya KenyaDamuMoyoNgeliSensaNdoaMperaMjombaNahauMbeya (mji)Historia ya IranVitamini CMeno ya plastikiSexHedhiUkristo nchini TanzaniaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaNgonjeraWangoniMkoa wa PwaniMtakatifu MarkoBendera ya TanzaniaUnyenyekevuHaki za binadamuMadiniWapareOrodha ya milima ya TanzaniaHali ya hewaPunda miliaKalenda ya KiislamuAlomofuWahaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaGoba (Ubungo)Mbadili jinsiaUislamuChakulaJichoJulius NyerereOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaKiarabuMaadiliMkoa wa RukwaMiundombinuMaktabaTulia Ackson🡆 More