Miss Grand International ni mashindano ya urembo wa kike, uliofanyika kila mwaka tangu 2013.
Ilianzishwa nchini Thailand na Nawat Itsaragrisil na ilionekana kuwa moja ya mashindano maarufu ya urembo ulimwenguni. Miss Grand International ya sasa ni Valentina Figuera kutoka Venezuela. Wawakilishi kutoka nchi zinazozungumza Kiswahili kama Kenya, Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda, na Uganda hawajawahi kushinda mashindano haya.
Miss Grand International Organisation | |
---|---|
(Kithai) มิสแกรนด์อินเตอร์เนชันแนล | |
Habari za jumla | |
Ufupisho | MGI |
Aina | Kampuni |
Motto | (Kiingereza) Stop the wars and violence |
Historia | |
Imara | Novemba 6, 2013 |
Mwanzilishi | Nawat Itsaragrisil |
Muundo | |
Rais | Nawat Itsaragrisil |
Makamu wa Rais | Teresa Chaivisut |
Sasa Miss Grand international | Valentina Figuera |
Sehemu ya kufanya kazi | Ulimwenguni kote |
Ofisi ya mkuu | Bangkok, Thailand |
Mahali | 1213/414, Soi Lat Phrao 94 (Pancha Mit), Lat Phrao Road, Phapphla, Wang Thonglang, Bangkok, Thailand |
Idadi ya wanachama | Zaidi ya nchi 70 |
Mashirika yanayohusiana | |
Mmiliki | Miss Grand International Co, Ltd. |
Vyombo tanzu | Miss Grand Thailand |
Vyombo vya habari | |
Tovuti | Tovuti rasmi |
Miss Grand International 2020 |
Mwaka | Miss Grand International | Nchi | Mji mwenyeji | Nchi mwenyeji | Idadi ya wagombea |
---|---|---|---|---|---|
2013 | Janelee Chaparro | Puerto Rico | Bangkok | Uthai | 71 |
2014 | Lees Garcia | Cuba | 85 | ||
2015 | Anea Garcia | Dominican Republic | 77 | ||
Claire Elizabeth Parker | Australia | ||||
2016 | Ariska Putri Pertiwi | Indonesia | Las Vegas | Marekani | 74 |
2017 | María José Lora | Peru | Phú Quốc | Vietnam | 77 |
2018 | Clara Sosa | Paraguay | Yangon | Myanmar | 75 |
2019 | Valentina Figuera | Venezuela | Caracas | Venezuela | 60 |
2020 | Abena Appiah | Marekani | Bangkok | Uthai | 63 |
2021 | Nguyễn Thúc Thùy Tiên | Vietnam | 59 | ||
2022 | Isabella Menin | Brazil | Jakarta | Indonesia | 68 |
2023 | Luciana Fuster | Peru | Mji wa Ho Chi Minh | Vietnam | 69 |
Kitufe cha rangi
Mashindano ya Miss Grand Tanzania yalifanyika mara moja mnamo 2017, ambayo Batuli Mohamed ndiye mshindi. Mkurugenzi wa kwanza wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Tanzania ni Paula David (2014-2015), na kufuatiwa na Samantha O'Shea Maina mnamo 2017-2019.
Mwaka | Miss Grand Tanzania | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Hakuna mmiliki wa haki nchini | ||||||
2014 | Lorraine Clement Marriot | Miss Grand Tanzania 2014 | 20 | 176 cm | Dar es Salaam | — |
|
2015 | Jinah Dameckh | Nafasi ya 3 – Miss Grand Tanzania 2014 | Dar es Salaam | Hakujiunga na shindano | |||
2016 | Hakuna mmiliki wa haki nchini | ||||||
2017 | Batuli Mohamed | Miss Grand Tanzania 2017 | 20 | Dar es Salaam | — |
| |
2018 | Queen Mugesi Ainory Gesase | — | 18 | 178 cm | Dar es Salaam | — |
|
2019 | Hakuna mwakilishi |
Mnamo 2013, mmiliki wa dhamana ya Miss Grand International nchini Kenya alikuwa Beauties of Africa Organia na Andy Abulime na 2015, ilikuwa shirika la Miss Kenya.
Mwaka | Miss Grand Kenya | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Pauline Akwacha | Top 10 – Miss World Kenya 2012 | 22 | Kisumu | — | — | |
2014 | Hakuna mwakilishi | ||||||
2015 | Elaine Wairimu Mwangi | Miss Grand Kenya 2015 (katika shindano la Miss Kenya 2015) | 22 | Nairobi | — | — | |
2016 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Kuna mwakilishi mmoja tu wa Kongo kwa Miss Grand International mnamo 2014, Naise Gumanda, lakini hakujiunga na shindano hilo.
Mwaka | Miss Grand Congo | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Hakuna mwakilishi | ||||||
2014 | Naise Gumanda | — | Hakujiunga na shindano | ||||
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Rwanda ilijiunga na Miss Grand International mara moja mnamo 2016 na Sonia Gisa.
Mwaka | Miss Grand Rwanda | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum |
---|---|---|---|---|---|---|---|
2014 – 2015: Hakuna mmiliki wa haki nchini | |||||||
2016 | Sonia Gisa | — | 25 | 169 cm | Karongi | — | — |
2017 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
Mkurugenzi wa mwisho wa kitaifa wa Miss Grand International nchini Uganda ni Nsubuga Ronnie katika toleo la 2017. Tangu wakati huo, hakuna wawakilishi wa Uganda kwenye mashindano haya.
Mwaka | Miss Grand Uganda | Mashindano ya kitaifa | Umri | Urefu | Jiji | Placement | Tuzo maalum | |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2013 | Pierra Akwero | Miss International Uganda 2009 | 26 | Entebbe | — | — | ||
2014 | Hakuna mwakilishi | |||||||
2015 | Lilian Gashumba | — | 26 | 180 cm | Kampala | — | — | |
2016 | Hakuna mwakilishi | |||||||
2017 | Priscilla Achieng | Miss Earth Uganda 2016 | 24 | 175 cm | Tororo | — | — | |
2018 – 2019: Hakuna mmiliki wa haki nchini |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Miss Grand International, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.