Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Uganda" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Uganda ni nchi ya Afrika ya Mashariki. Imepakana na Kenya upande wa mashariki, Sudan Kusini upande wa kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande... |
Mkoa wa Kaskazini ni mmoja wa mikoa (kwa Kiingereza: regions) minne ya Uganda. Wakati wa sensa ya mwaka 2014 Mkoa wa Kaskazini ulikuwa na wakazi 7,188... |
Uganda imegawanywa katika wilaya 135 na mji mkuu wa Kampala . Kila wilaya ni sehemu ya mmoja wa mikoa minne. Wilaya mpya 7 zimeanza kazi rasmi tarehe 1... |
mkuu wa Wilaya ya Kumi nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 11,400. Orodha ya miji ya Uganda Wiki Commons ina media kuhusu: Kumi (Uganda)... |
Busia ni mji katika mashariki mwa Uganda. Huu ndio mji mkubwa katika Wilaya ya Busia na makao makuu ya wilaya yako hapo. Busia iko kwenye mpaka na Kenya... |
Wilaya ya Masaka nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 71,700. Orodha ya miji ya Uganda Wiki Commons ina media kuhusu: Masaka (Uganda)... |
Miji ya Uganda inaorodheshwa hapa pamoja na idadi ya wakazi kulingana na sensa ya Uganda ya mwaka 2014. Idadi zinazotajwa zilitangazwa na ofisi ya takwimu... |
(Uganda) unapatikana katika Mkoa wa Kati wa Uganda. Maji yake yanaishia katika mto Naili na hatimaye katika Bahari ya Kati. Orodha ya mito ya Uganda Orodha... |
Utalii nchini Uganda unaangazia mandhari na wanyamapori wa Uganda. Ni kichocheo kikuu cha ajira, uwekezaji na fedha za kigeni, ikichangia shilingi trilioni... |
Kalungu (Uganda) ni mji wa Uganda, makao makuu ya wilaya ya Kalungu. Orodha ya miji ya Uganda... |
Zombo, Uganda ni mji wa Mkoa wa Kaskazini wa Uganda ambao ndio makao makuu ya wilaya ya Zombo. Orodha ya miji ya Uganda... |
Kasanda, Uganda ni mji wa Mkoa wa Kati wa Uganda ambao ndio makao makuu ya wilaya ya Kasanda. Orodha ya miji ya Uganda... |
Wilaya ya Kiboga nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 15,200. Orodha ya miji ya Uganda Wiki Commons ina media kuhusu: Kiboga (Uganda)... |
mkuu wa Wilaya ya Lira nchini Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 98,300. Orodha ya miji ya Uganda Wiki Commons ina media kuhusu: Lira, Uganda... |
wa Kati wa Uganda ambao ndio makao makuu ya wilaya ya Gomba. Katika sensa ya mwaka 2014 ulikuwa na wakazi 12,439. Orodha ya miji ya Uganda UBOS (27 August... |
Soko la Hisa la Uganda ni soko la hisa la pekee nchini Uganda. Makao makuu yapo Kampala. Likaanzishwa mwaka 1197 na kuanza shughuli kwenye Januari 1998... |
Hii ni orodha ya Marais wa Uganda: Uganda Wakuu wa Serikali ya Uganda Makamu wa Rais wa Uganda Wakoloni wakuu wa Uganda orodha ya viongozi... |
Isingiro ni mji wa Mkoa wa Magharikbi wa Uganda ambao ndio makao makuu ya wilaya ya Isingiro. Orodha ya miji ya Uganda... |
minne ya Uganda na eneo lake ni sawa na Ufalme wa Buganda. Kwa sasa unaundwa na wilaya 24. Makao makuu yako Kampala. Wakazi ni 9,529,227. "Uganda: Administrative... |
Mikoa ya Uganda ni nne tu: Wa kati, Magharibi, Mashariki na Kaskazini. Kila mmoja umegawanyika katika wilaya. Hizo zilikuwa 56 mwaka 2002, zikafikia kuwa... |