Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kanisa Katoliki likiwa la zamani (Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki wanashiriki sifa hiyo) na kubwa kuliko madhehebu yote ya Ukristo, historia... |
Kanisa Katoliki ni jina linalotumika kwa maana mbalimbali, lakini hasa kumaanisha Kanisa la Kikristo linalokubali mamlaka ya kiroho ya Papa wa Roma kama... |
Kanisa la Kilatini (wakati mwingine "Kanisa la Kiroma") ni moja ya madhehebu yanayounda Kanisa Katoliki. Ndiyo kubwa kuliko yote (97% za waumini wote)... |
kamili na Askofu wa Roma (Papa), hivyo pia na Kanisa Katoliki lote duniani. Mapokeo hayo ni hasa yale ya Aleksandria (Misri), Antiokia (kihistoria jiji... |
ya Ulaya Historia ya Wokovu Historia ya Kanisa Historia ya teolojia Historia ya utawa Historia ya Kanisa Katoliki Historia ya Uislamu Miaka Vita [1]... |
Orodha ya makardinali wa Kanisa Katoliki huonyesha makardinali wote ambao walikuwepo tarehe 24 Novemba 2007. Papa ana haki ya kumteua kardinali bila ya kutangaza... |
Historia ya Kanisa ni fani inayochunguza historia ya Ukristo na ya miundo yake mbalimbali tangu Kanisa lilipoanzishwa na Yesu Kristo katika karne ya 1... |
Kanisa Katoliki la Waethiopia ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo... |
Kanisa Katoliki la Wakopti ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo... |
ya Ukristo, jina hilo lina historia ndefu na matumizi tofauti kadhaa. Kwa wengine, neno "Kanisa Katoliki" linahusu Kanisa ambalo lina ushirika kamili... |
Mwalimu wa Kanisa ni jina la heshima ambalo kwa nadra Kanisa Katoliki linampa mtakatifu ambaye katika maisha, mafundisho na maandishi yake alionyesha na... |
Utetezi wa Kanisa Katoliki ni sehemu ya teolojia ya Ukristo inayolenga kutoa hoja za kutetea imani na maisha ya Kanisa Katoliki dhidi ya zile za watu... |
Kanisa Katoliki la Kimelkiti (kwa Kiarabu: كنيسة الروم الملكيين الكاثوليك, Kanīsat ar-Rūm al-Malakiyyīn al-Kāṯūlīk) ni mojawapo kati ya madhehebu ya Kanisa... |
nayo kwa namna tofautitofauti. Kanisa Katoliki linaona sifa hizo zinalitambulisha kati ya madhehebu mengi kama Kanisa pekee lililoanzishwa na Yesu kumpitia... |
Kanisa Katoliki la Kisiria la Malankara (kwa Kimalayalam: മലങ്കര സുറിയാനി കത്തോലിക്കാ സഭ) ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika... |
Kanisa Katoliki la Wakaldayo (kwa Kiaramu ܥܕܬܐ ܟܠܕܝܬܐ ܩܬܘܠܝܩܝܬܐ , ʿītha kaldetha qāthuliqetha) ni mojawapo kati ya Makanisa Katoliki ya Mashariki, likifuata... |
Kanisa Katoliki la Waeritrea tangu tarehe 19 Januari 2015 ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa... |
mengine. Kwa kuwa imani ya Kanisa Katoliki ni kwamba Papa wa Roma ni mkuu wa maaskofu wote duniani, kanisa kuu la jimbo lake ni pia kanisa kuu la Wakatoliki... |
Kanisa Katoliki la Armenia (kwa Kiarmenia Հայ Կաթողիկէ Եկեղեցի Hay Kat’oġikē Ekeġec’i) ni madhehebu ya Kanisa Katoliki yanayofuata mapokeo ya Kanisa la... |
Babu wa Kanisa ni jina la heshima ambalo kuanzia karne IV Kanisa Katoliki limewapatia Wakristo wa kale (hadi mwaka 750 hivi), wenye utakatifu, elimu na... |