Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Tabianchi" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Tabianchi (Kiing. climate) inamaanisha jumla ya halijoto, unyevuanga, kanieneo ya angahewa, upepo, usimbishaji na tabia nyingine zinazoathiri hali ya... |
Tabianchi ni hali ya mabadiliko ya mazingira upande wa hali ya hewa yaani halijoto, pepo zinazovuma na mvua ambayo yanayojirudia rudia kwa muda mrefu... |
Mapatano ya msingi ya UM kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (en:United Nations Framework Convention on Climate Change, kifupi: UNFCCC) ni mapatano ya kimataifa... |
Mapatano ya Paris kuhusu Tabianchi (en:Paris Agreement, fr:Accord de Paris) ni mapatano yaliyokubaliwa mwaka 2015 mjini Paris (Ufaransa) kufuatana na... |
Mabadiliko ya tabianchi nchini Kenya, kama kote duniani, yanaleta tishio linaloongezeka kwa maendeleo ya kijamii na kiuchumi na uendelevu wa mazingira... |
Bahari ya Kara inapokea maji ya mito mikubwa ya Yenisei na Ob. Kutokana na tabianchi baridi uso wa bahari hii huganda ukifunikwa na barafu kwa takriban miezi... |
hatua kali dhidi ya mabadiliko ya tabianchi kwa kuweka alama ya kusoma Skolstrejk för klimatet (mgomo wa Shule kwa tabianchi). Hivi karibuni, wanafunzi wengine... |
joto zikiathiri maisha ya binadamu. Hali ya hewa inaenda sambamba na tabianchi yaani, kama ni ya joto au baridi, bichi au yabisi. Mabadiliko ya hali... |
vuguvugu Kaskazini, hivyo ni kama jiko kwa ajili ya tabianchi ya Ulaya ya Kaskazini. Kwa njia hi tabianchi ya Ulaya ya Kaskazini na magharibi si baridi jinsi... |
Kupanda kwa halijoto duniani (elekezo toka kwa Mabadiliko ya tabianchi) kwa halijoto duniani (ing. global warming) ni mchakato wa mabadiliko ya tabianchi yaliyotambuliwa na wataalamu tangu miaka kadhaa. Mchakato huo ulianza... |
na Australia, Papua Guinea Mpya, Visiwa vya Solomon na Kaledonia Mpya. Tabianchi ni ya joto, usimbishaji ni kati ya milimita za mvua 1,000 hadi 3,000 kwa... |
ya Siberia. Mto Lena ni mto mkubwa unaoishia hapa katika delta pana. Tabianchi ni baridi sana. Kutokana na latitudo karibu na ncha ya kaskazini usiku... |
Mabadiliko ya tabianchi Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini (MENA Middle East and North Africa) ni makala inayoelezea mabadiliko ya tabianchi ya eneo la... |
Tabianchi ya Uingereza inaathiriwa na mahali pake baharini inayopitiwa na Mkondo wa Ghuba na latitudo ya kaskazini. Athari hizo zinaleta tabianchi fufutende... |
Isiolo (mashariki), Laikipia (kusini) na Baringo (mashariki). Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu. Hifadhi ya Taifa ya Samburu, Msitu Loroki, Mlima Ng'iro... |
Mkutano wa Watu wa Dunia Nzima juu ya Mabadiliko ya Tabianchi na Haki za Mama Dunia ulikuwa mkutano wa kimataifa wa mashirika ya kiraia ulioandaliwa na... |
milimita 1-2 kila mwaka. Safu hii inatenganisha tabianchi ya Mediteranea upande wa kusini na tabianchi ya kibara upande wa kaskazini. Orodha ya milima... |
mwanaharakati wa tabianchi kutoka New York, Marekani . Mfuasi wa harakati za Fridays for Future movement na mwanaharakati mwenzake wa tabianchi Greta Thunberg... |
Taita Taveta, Makueni, Machakos, Embu na Tharaka Nithi. Ina hali ya tabianchi kavu na nusu kavu. Ina vilima na ardhi tambarare. Kitui hupata misimu... |
jumla kati ya latitudo za 25° na 40° katika kila nusutufe ya dunia.- Tabianchi ya subtropiki kwa jumla ni ya fufutende maana hakuna wala baridi kali... |