Nusutropiki

Nusutropiki ni sehemu za dunia upande wa kusini na kaskazini ya kanda la tropiki.

Yaeneo haya yako kwa jumla kati ya latitudo za 25° na 40° katika kila nusutufe ya dunia.-

Nusutropiki
Nusutropiki

Tabianchi ya subtropiki kwa jumla ni ya fufutende maana hakuna wala baridi kali wala joto kali sana. Hata hivyo miezi ya majirajoto inaweza kuwa na joto kubwa hasa pale ambako unyevuanga ni juu.

Wastani ya halijoto kwa mwaka wote ni juu ya 20 °C lakini wastani ya mwezi baridi zaidi ni chini ya 20 °C.

Tags:

LatitudoTropiki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Viwakilishi vya kuoneshaSensaC++NyaniKimara (Ubungo)Mfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaNusuirabuRuge MutahabaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniUtalii nchini KenyaNdege (mnyama)Ubadilishaji msimboMichezoPamboBaraMajina ya Yesu katika Agano JipyaZakaKonsonantiMvua ya maweAmri KumiAli Hassan MwinyiMajeshi ya Ulinzi ya KenyaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiDini asilia za KiafrikaMariooUturukiGoba (Ubungo)Mimba kuharibikaBurundiMungu ibariki AfrikaCristiano RonaldoPombeLigi Kuu Uingereza (EPL)WikipediaHaki za binadamuIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)KitenziMafumbo (semi)BahashaMkutano wa Berlin wa 1885Ukristo nchini TanzaniaMkoa wa Kilimanjaro25 ApriliVivumishi vya idadiJulius NyerereUzazi wa mpangoSomo la UchumiElimuMizimuKiongoziStadi za maishaKiimboNguzo tano za UislamuRisalaMkwawaSarufiMiundombinuDhima ya fasihi katika maishaViwakilishi vya urejeshiMahakamaKiraiShetaniSinagogiViwakilishi vya kumilikiVidonda vya tumboLiverpoolKoroshoIntanetiMjombaMagonjwa ya macho🡆 More