Mharagwe-pana (jina la kisayansi: Vicia faba) ni jina la mmea katika familia Fabaceae.
Mharagwe-pana (Vicia faba) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Miharagwe-pana shambani | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mbegu zake huitwa maharagwe mapana.
Asili ya mmea huu ni Mashariki ya Kati lakini siku hizi hukuzwa mahali pote katika kanda za nusutropiki na wastani.
Vipande vinavyolika ni mbegu (bichi na bivu), matumba machanga na majani.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mharagwe-pana, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.