Young Africans S.c.

Young Africans S.C.

Jina la utani Timu ya Wananchi au Wanajangwani.

Young Africans S.c.
Logoya Young African S.C.
Young Africans S.C.
Jina la utaniYanga (Swahili)
Imeanzishwa11Feb 1935
UwanjaBenjamin Mkapa National Stadium
(Uwezo: 62,000)
MwenyekitiMshindo Msola
MenejaSenzo Mazingiza
KochaNasreddine Nabi
LigiTanzania Premier League, Vodacom Premier League
Tovutitovuti ya klabu

Imepata kuwa mabingwa mara 29 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.

Wachezaji

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1 Young Africans S.c.  GK Djigui Diarra
28 Young Africans S.c.  GK Abdutwalib Mshery
24 Young Africans S.c.  GK Erick Johola
3 Young Africans S.c.  DF Bakari Nondo Mwamnyeto
5 Young Africans S.c.  DF Dickson Job
13 Young Africans S.c.  DF David Bryson
21 Young Africans S.c.  DF Djuma Shabani
23 Young Africans S.c.  DF Abdullah Shaibu Ninja
4 Young Africans S.c.  DF Yanick Bangala Litombo
15 Young Africans S.c.  DF Kibwana Shomari
18 Young Africans S.c.  MF Abubakar Salum
20 Young Africans S.c.  MF Zawadi Mauya
10 Young Africans S.c.  MF Stephane Aziz Ki
33 Young Africans S.c.  MF Dickson Ambundo
27 Young Africans S.c.  MF Mudathir Yahaya
8 Young Africans S.c.  FW Khalid Aucho
12 Young Africans S.c.  FW Jesus Ducapel Moloko
6 Young Africans S.c.  MF Feisal Salum
17 Young Africans S.c.  MF Farid Mussa
25 Young Africans S.c.  MF Chiko Ushindi
9 Young Africans S.c.  FW Fiston Mayele
16 Young Africans S.c.  FW Denis Nkane
30 Young Africans S.c.  DF Chrispin Ngushi

Wachezaji wa kigeni

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:


Heshima

Ndani ya Nchi

Young Africans S.c. 
Ofisi kuu za Young Africans zilizoko barabara ya Twiga, Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania Mashariki
  • Ligi Kuu Tanzania
  • Kombe la FA Tanzania
    • Mabingwa (3): 1975, 1994, 1999
    • Makombe (1): 2001
  • Kombe la FAT
    • Mabingwa (3): 2015–16, 2021/22, 2022/23
    • Makombe (2): 1996, 2021
  • Kombe la Tusker
    • Mabingwa (7):1986,1992,1987,2000,2005,2007, 2009
    • Makombe (3): 2001, 2002, 2005.
  • Kombe la Mapinduzi
    • Mabingwa (3): 2003,2004, 2021
    • Makombe (1): 2011
  • Ngao ya Jamii
    • Mabingwa (7): 2001, 2010, 2013, 2014, 2015, 2021,2022
    • Makombe (7): 2002, 2005,2013,2009, 2011, 2016, 2017

Bara

Kombe la CECAFA

  • Mabingwa (5): 1975, 1993, 1999, 2011, 2012
  • Makombe (3): 1976, 1986, 1990

Kombe la Shirikisho la CAF

  • Makombe (1): 2023

Ufundi katika Mashindano ya CAF

      1997 – Raundi ya Awali
      1998 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
      2001 – Raundi ya Pili
      2006 – Raundi ya Awali
      2007 – Raundi ya Pili
      2009 – Raundi ya Kwanza
      2010 – Raundi ya Awali
      2012 – Raundi ya Awali
      2014 – Raundi ya Kwanza
      2016 – Raundi ya Pili
      2017 – Raundi ya Kwanza
      2022 – Raundi ya Kwanza
      2023 – Robo fainali
      1969 – Robo-fainali
      1970 – Robo-fainali
      1971 – Kujitoa katika Raundi ya Pili
      1972 – Raundi ya Kwanza
      1973 – Raundi ya Kwanza
      1975 – Raundi ya Pili
      1982 – Raundi ya Pili
      1984 – Raundi ya Kwanza
      1988 – Raundi ya Kwanza
      1992 – Raundi ya Kwanza
      1996 – Raundi ya Awali
  • Kombe la Shirikisho la CAF: Onyesho 6
      2007 – Raundi ya Kati
      2008 – Raundi ya Kwanza
      2011 – Raundi ya Awali
      2016 – Hatua ya Makundi (Nane Bora)
      2018 – Hatua ya Makundi (16 Bora)
      2022–23 – Mshindi wa Pili
      1994 – Raundi ya Kwanza
      1999 – Raundi ya Kwanza
  • Kombe la Washindi wa Mataji la CAF: Onyesho 2
      1995 – Robo-fainali
      2000 – Raundi ya Kwanza

Nembo

Young Africans S.c. 
Nembo ya zamani

Tanbihi

Viungo vya nje

Tags:

Young Africans S.c. WachezajiYoung Africans S.c. HeshimaYoung Africans S.c. Ufundi katika Mashindano ya CAFYoung Africans S.c. NemboYoung Africans S.c. TanbihiYoung Africans S.c. Viungo vya njeYoung Africans S.c.1935JinaLigi Kuu Tanzania BaraMwakaSokaTanzaniaTimu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UjamaaSamia Suluhu HassanOrodha ya makabila ya TanzaniaHifadhi ya NgorongoroMethaliAla ya muzikiAfrikaMkoa wa KigomaKadi ya adhabuMbooLahaja za KiswahiliAgano JipyaFamiliaJinsiaMwarobainiNyumbaChristina ShushoMsituUchawiJoseph ButikuDamuWilaya ya MboziAlama ya barabaraniMichezo ya jukwaaniRiwayaMsalaba wa YesuMbuniMiundombinu ya kijani katika nchi ya Kenya, mji wa NairobiDubuKitenziOrodha ya volkeno nchini TanzaniaUtoaji mimbaMikoa ya TanzaniaYoung Africans S.C.Mkoa wa MorogoroAustraliaFonolojiaMjusi-kafiriKisimaHuduma ya kwanzaWachaggaHifadhi ya SerengetiSiasaBendera ya TanzaniaWamasoniUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015Dolar ya MarekaniWabunge wa Tanzania 2020Bahari ya HindiEdward Ngoyai LowassaUislamuMariooSautiMuungano wa Madola ya AfrikaNomino za wingiMartha MwaipajaNzigeZiwa ViktoriaOrodha ya kampuni za TanzaniaDiniHoma ya manjanoUbongoFalsafaBurundiHistoria ya Kanisa KatolikiPentekosteSexJakaya KikweteMuzikiMbuNyaniAdolf MkendaAdolf Hitler🡆 More