Makka

Makka (rasmi: Makkah al-Mukarramah; Kar.: مكة المكرمة‎) ni mji wa Ufalme wa Uarabuni wa Saudia.

Ina wakazi 1,294,167 (mwaka 2004). Mji uko kwenye bonde la Ibrahimu mnamo km 80 kutoka pwani la Bahari ya Shamu na bandari ya Jeddah. Mazingira ya mji ni jangwa mahali penyewe kuna visima vilivyowezesha kuwepo kwa mji tangu kale.

Makka
Muonekano wa Mji wa Makka

Makka kama mahali patakatifu wa Uislamu

Makka ni mji mtakatifu wa Uislamu. Kila mwaka mamilioni wa Waislamu wanahiji kwenda Makka. Wakati huu wa hajj wanajaribu kufuata nyayo za mtume Muhammad. Makka ni mji uliofungwa kwa wasio Waislamu.

Kwa Waislamu Makka ni mji wa kuzaliwa kwake mtume Muhammad pia mahali alipokaa alipoanza kupokea aya za Kurani. Mjini kuna pia jengo la Kaaba linaloaminiwa ni msikiti iliyojengwa na Adamu na kutengenezwa upya na Ibrahimu (Abrahamu).

Hajj ya kwenda Makka ni moja kati ya nguzo tano za Uislamu.

Tovuti za Nje

Makka  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Makka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari ya ShamuJeddahKar.KmMjiUarabuni wa SaudiaUfalme

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa MarekaniFananiVidonge vya majiraTanganyika (ziwa)Magonjwa ya machoTulia AcksonYouTubeAntiokiaLughaChDiniOrodha ya makabila ya TanzaniaThamaniKisononoOrodha ya Magavana wa TanganyikaWilliam RutoKitabu cha HoseaUhakiki wa fasihi simuliziMajiPemba (kisiwa)WanyamaporiMofolojiaKinembe (anatomia)BabaKajala MasanjaNomino za pekeeBaraAlama ya uakifishajiUwanja wa michezo wa ChamaziBendera ya TanzaniaKiarabuMtawaMartha MwaipajaKumamoto, KumamotoJulius NyerereWanyaturuKuraniKihusishiOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaDesturiNguvaKiburiItifakiFasihiPasakaKitenzi kikuu kisaidiziMpira wa kikapuSentensiLafudhiKidole cha kati cha kandoKitandaKiambishi tamatiKibonzoKatereroJakaya KikweteVivumishi vya kuoneshaAli Hassan MwinyiAdhuhuriPapaMzunguFonolojiaAmina ChifupaNguzo tano za UislamuMamaWanyakyusaArsenal FCMoyoMisemoLigi Kuu Tanzania BaraZahanatiKumaJamhuri ya Watu wa ZanzibarRidhiwani Jakaya KikweteTovutiT🡆 More