Mharagwe

Mharagwe (pia: mharage) ni jina la mimea mbalimbali ya familia Fabaceae lakini mara nyingi sana Phaseolus vulgaris.

Mharagwe
(Phaseolus vulgaris)
Miharagwe inayopanda juu
Miharagwe inayopanda juu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Fabales (Mimea kama mharagwe)
Familia: Fabaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mharagwe)
Jenasi: Phaseolus
L.
Spishi: P. vulgaris
L.

Mimea hii inatambaa au inapanda juu ya mimea mingine na matunda yake ni makaka marefu yaliyo na mbegu zinazoitwa maharagwe.

Licha ya mbegu hata makaka mabichi huliwa kama maharagwe-mboga.

Picha

Tags:

FabaceaeFamilia (biolojia)JinaMmeaPhaseolus vulgaris

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mtume PetroBahari ya HindiSemiMadiniOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNamba za simu TanzaniaMaumivu ya kiunoNgono zembeFananiKihusishiSakramentiArsenal FCStadi za maishaDubaiSikioMtakatifu PauloMalaikaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMwanzo (Biblia)VietnamMwakaViwakilishiUbuntuShairiUzalendoNzigeBarua pepeWazaramoMatumizi ya LughaKrioliWamasaiPaul MakondaMkoa wa SingidaNgeliBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMkoa wa TaboraUhifadhi wa fasihi simuliziZana za kilimoUrenoMgawanyo wa AfrikaHafidh AmeirDiamond PlatnumzLahaja za KiswahiliRoho MtakatifuJumuiya ya MadolaJoseph Sinde WariobaUkimwiMkoa wa IringaKonsonantiDiniJohn Raphael BoccoViwakilishi vya kuoneshaJumuiya ya Afrika MasharikiViwakilishi vya -a unganifuMzabibuUandishiBikiraUshairiZama za MaweMsamiatiWaheheMange KimambiKadhiVitendawiliMbuga wa safariMwenge wa UhuruAina za manenoUmaskiniUgonjwa wa akiliHaki za watotoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaWaluguruMbaraka Mwinshehe🡆 More