Miundombinu

Miundombinu (Ing.

Vifaa vya muundombinu ni msingi wa uchumi. Kwa jumla ni vitu vya kudumu miaka mingi.

Miundombinu
Barabara ni sehemu muhimu ya muundombinu wa kila nchi

Pamoja na vifaa vya kiteknoljia kuna pia aina ya miundombinu ya kijamii unaoonekana katika upatikanaji wa elimu, huduma za afya, polisi na mahakama, pamoja na jumuiya za watu ndani ya jamii zinazotoa huduma kwa mfano makanisa, jumuiya za msikiti au mahekalu, shirika zisizo za serikali. Kwa mtazamo huo miundombinu ya kijamii ya kimsingi ni familia na ukoo.

Nchi za kisasa huwa na miundombinu ya

Kuna vingi vingine. Vifaa vya kimsingi vya miundombinu vinatumiwa na watu wengi kwa hiyo ni kazi ya umma au serikali kuvijenga na kuvitunza.

Nchi tajiri huwa na miundombinu ulioendelezwa lakini nchi maskini huwa na miundombinu kidogo tu. Mara nyingi maazimio kama kujenga barabara au kutandiza mabomba ya maji au nyaya za umeme huweka msingi kwa maendeleo ya kiuchumi ya nchi.

Tags:

Ing.

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Bendera ya KenyaWakingaMaktabaLongitudoUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaVivumishi vya -a unganifuJinsiaMwanza (mji)Azam F.C.MapenziWilaya ya NyamaganaMuundo wa inshaMbezi (Ubungo)UkristoVivumishiMlima wa MezaHistoria ya WasanguChanika (Ilala)Mashuke (kundinyota)Kidole cha kati cha kandoAbedi Amani KarumeSumakuYoung Africans S.C.FonolojiaTabiaKifua kikuuNdiziDar es SalaamTamthiliaHekimaJohn Samwel MalecelaKisaweWangoniBarua pepeHoma ya mafuaHadhiraMkoa wa SingidaBendera ya ZanzibarKata (maana)FacebookMapenzi ya jinsia mojaYesuKata za Mkoa wa MorogoroWabunge wa kuteuliwaNembo ya TanzaniaUajemi ya KaleHoma ya matumboMohamed HusseinHistoria ya KenyaMajira ya baridiEthiopiaAlama ya uakifishajiSimba S.C.Mohammed Gulam DewjiKibodiBagamoyo (mji)HakiOmmy DimpozMaumivu ya kiunoTabataVita Kuu ya Pili ya DuniaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMkoa wa MorogoroJohn MagufuliRayvannyWachaggaWilaya za TanzaniaOrodha ya maziwa ya TanzaniaUkoloniJumuiya ya Afrika MasharikiMuhammadAmri KumiWilaya ya Arumeru🡆 More