Sengerema

Sengerema ni mji mdogo na makao makuu ya wilaya ya Sengerema katika Mkoa wa Mwanza.

Kata ya Sengerema
Kata ya Sengerema is located in Tanzania
Kata ya Sengerema
Kata ya Sengerema

Mahali pa Sengerema katika Tanzania

Majiranukta: 2°38′57″S 32°38′35″E / 2.64917°S 32.64306°E / -2.64917; 32.64306
Nchi Tanzania
Mkoa Mwanza
Wilaya Sengerema
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 49,806
Sengerema
Maeneo baadhi ya sengerema Mjini mwanza

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa kata ya Sengerema ilihesabiwa kuwa 49,806 [1].

Eneo la mji wa Sengerema limegawiwa kwa kata nne za Ibisabageni, Mwabaluhi (Mwambului), Nyampulukano na Nyatukala.

Hii kata ndogo imesheheni miundombinu tofauti ikiwemo hospitali ijulikanayo kama Mision hospital, shule zilizobobea kwa ajili ya kutoa elimu, pia Telecentre Wilayani Sengerema kwenye makutano ya barabara za Kamanga na Busisi.

Sengerema Kata za Wilaya ya Sengerema - Mkoa wa Mwanza - Tanzania Sengerema

Bitoto | Busisi | Buyagu | Buzilasoga | Chifunfu | Ibisabageni | Ibondo | Igalula | Igulumuki | Kagunga | Kahumulo | Kasenyi | Kasungamile | Katunguru | Kishinda | Mission | Mwabaluhi | Ngoma | Nyamatongo | Nyamazugo | Nyamizeze | Nyampande | Nyampulukano | Nyatukara | Sima | Tabaruka

Sengerema Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sengerema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa NjombeMji mkuuAsili ya KiswahiliSerikaliUmoja wa MataifaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliSomo la UchumiChuiKunguniJomo KenyattaMadawa ya kulevyaDiniMwakaMohamed HusseinChakulaMwenyekitiKigoma-UjijiAnna MakindaTenziOrodha ya milima ya TanzaniaUkwapi na utaoZakaBiashara ya watumwaJamhuri ya Watu wa ChinaPaul MakondaMapafuDawa za mfadhaikoAbby ChamsNg'ombeUlumbiUti wa mgongoTabainiMbossoMotoUpepoNyangumiOrodha ya Watakatifu wa AfrikaNgonjeraMagonjwa ya machoMekatilili Wa MenzaLughaKorea KaskaziniUmaShomari KapombeSintaksiBaruaHistoria ya AfrikaTesistosteroniNahauKorea KusiniShereheUhifadhi wa fasihi simuliziViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Kamusi ya Kiswahili sanifuWayao (Tanzania)DuniaSaidi NtibazonkizaHistoria ya WapareJogooMbaraka MwinsheheVirusiMuhammadMlongeDr. Ellie V.DKamusi elezoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaZuchuMishipa ya damuUandishiKalenda ya GregoriUmaskiniMendeTovutiKaabaFasihi andishiAgano Jipya🡆 More