Kaaba

Kaaba ni jengo lenye umbo la mchemraba lililopo ndani ya msikiti mkuu wa Masjid al-Haram mjini Makka nchini Saudia.

Kaaba
Kaaba ikizungukwa na waumini.

Inatazamwa kama mahali patakatifu katika imani ya Uislamu. Waislamu huamini ni nyumba ya Mungu iliyojengwa kiasili na Adamu na baadaye na Abrahamu.

Ni lengo la safari ya hija. Kila Mwislamu mwenye uwezo anatakiwa kuitembelea angalau mara moja katika maisha yake.

Waislamu wanatakiwa kuielekea Kaaba wakati wa kusali na kila msikiti huwa na sehemu ya mihrabu inayotazama Makka. Mwelekeo huu huitwa kibla.

Viungo vya nje

Kaaba 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

MakkaMchemrabaMsikitiSaudia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MawasilianoBenjamin MkapaWilaya ya Nzega VijijiniNominoVokaliKiambishi awaliUandishiMbaraka MwinsheheMtumbwiAsidiLughaKalenda ya KiislamuMivighaHaki za wanyamaNabii EliyaSabatoMwanza (mji)Mahakama ya TanzaniaAla ya muzikiKabilaSkeliSamakiStashahadaHarmonizeMapenziWilaya ya UbungoWagogoRohoViwakilishi vya pekeeUkooFutiZuchuMshubiriSexUchumiMfumo katika sokaMajigamboIfakaraIndonesiaBikira MariaTupac ShakurDoto Mashaka BitekoNamba za simu TanzaniaNdege (mnyama)KunguruMtandao wa kijamiiMmeaBurundiViwakilishi vya urejeshiPemba (kisiwa)Simu za mikononiLahaja za KiswahiliJose ChameleoneJinsiaKiolwa cha anganiChama cha MapinduziKimeng'enyaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaKata za Mkoa wa Dar es SalaamOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoOrodha ya miji ya TanzaniaDodoma (mji)Ruge MutahabaMkoa wa ManyaraShahawaHistoria ya TanzaniaDivaiBidiiMuhammadNomino za wingiKonyagiKariakoo🡆 More