Adamu

Adamu (kwa Kiebrania: אָדָם maana yake mtu, mtu wa udongo, chaudongo, au wa udongo mwekundu) ni jina analopewa mtu wa kwanza katika Biblia.

Anatajwa na Kurani pia.

Adamu
Uumbaji wa Adamu ulivyochorwa (1511) na Michelangelo Buonarroti katika Cappella Sistina, huko Vatikano. Ni mmojawapo kati ya michoro maarufu zaidi duniani.
Adamu
Uuumbaji wa Adamu kadiri ya Andrea Pisano, 1334-1336

Kadiri ya kitabu cha Mwanzo, alizaliana na mke wake Eva watu wote waliopo duniani, ambao kwa sababu hiyo wanaitwa binadamu; kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe Kaini, Abeli na Seti.

Kanisa Katoliki linamheshimu kama mtakatifu kila tarehe 24 Desemba.

Katika Biblia

Adamu 
Heinrich Aldegrever, Adamu na simba, wakiishi kwa amani kabla ya Dhambi ya Asili
Adamu 
Eva akiumbwa kwa ubavu wa Adamu alivyochongwa na (Lorenzo Maitani na shule yake, upande wa mbele wa Kanisa kuu la Orvieto).

Uumbaji wa watu wa kwanza unasimuliwa na kitabu cha Mwanzo mara mbili: katika 1,26-28 na katika 2,7-22.

Masimulizi hayo yanayotofautiana katika vipengele mbalimbali hayadai yachukuliwe kama habari za historia zinazoandikwa siku hizi. Yanatokana na tafakuri ya kina juu ya hali ya binadamu kwa lengo la kuelewa asili yake.

Katika Kurani

Humo Adamu anatajwa kwa namna inayofanana na ile ya Biblia. Anahesabiwa kuwa mtume wa kwanza.

Tazama pia

Tanbihi

Adamu  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adamu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Adamu Katika BibliaAdamu Katika KuraniAdamu Tazama piaAdamu TanbihiAdamuBibliaJinaKiebraniaKuraniMtu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Agostino wa HippoMkoa wa NjombeMaradhi ya zinaaUkristo barani AfrikaLisheWanyamweziKito (madini)Mungu ibariki AfrikaWaheheDola la RomaUaRose MhandoUrenoAfrika KusiniViwakilishi vya kumilikiToharaJohn Samwel MalecelaMshale (kundinyota)Mkoa wa IringaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiZama za ChumaShairiCristiano RonaldoMikoa ya TanzaniaKiswahiliMkoa wa LindiUyakinifuMkonoVirusi vya CoronaNdovuUpendoKidoleSanaaFasihi andishiDaktariSarufiUsultani wa ZanzibarIsraelSaratani ya mlango wa kizaziMkwawaKitabu cha ZaburiShengSiasaVolkenoTarafaMbuga za Taifa la TanzaniaSisimiziMaigizoDayolojiaViwakilishi vya kuulizaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaUti wa mgongoPasaka ya KiyahudiSentensiLil WayneAntibiotikiPijini na krioliKitenzi kikuuUfupishoHifadhi ya SerengetiMatumizi ya LughaSikioBinadamuVivumishi vya jina kwa jinaVita vya KageraOrodha ya Marais wa ZanzibarKiingerezaKarafuuNafsiKiunguliaUhifadhi wa fasihi simuliziVivumishiTaswira katika fasihi🡆 More