Futi

Futi (kiing.

foot) ni kipimo cha urefu wa 30.48 sentimita au inchi 12. Asili yake ni urefu wa sehemu ya kanyagio ya mguu wa mwanadamu. Si kipimo sanifu cha kimataifa bali ni kizio cha vipimo vya Uingereza.

Futi
Futi zenyewe = miguu hutofautiana ukubwa kati ya watu - hivyo futi ilikuwa kipimo tofauti kati ya nchi na nchi. Leo hii inatumiwa zaidi Marekani na katika nchi chache za Jumuiya ya Madola

Kifupi chake ni ft. au inaandikwa hivyo: futi 5 inchi 11 = 5' 11".

Neno "futi" latumiwa pia kutaja chenezo au rula (chombo cha kupima urefu wa kitu).

Kipimo cha futi kiliingia katika Kiswahili tangu ukoloni wa Uingereza. Kimechukua nafasi ya vipimo asilia vya Kiswahili kama shubiri (takriban 25 cm) na ziraa (takriban 50 cm).

Kihistoria urefu wa futi ilikuwa tofauti kati nchi na nchi. Leo hii inatumiwa zaidi Marekani lakini pia kwa uzoefu katika nchi zinazotumia sana lugha ya Kiingereza hata kama rasmi zimeshakubali vipimo sanifu vya kimataifa SI.

Tags:

InchiKiing.Kipimo sanifu cha kimataifaKizioSentimita

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MweziTaswira katika fasihiSikukuuZuchuMadawa ya kulevyaAsidiUfugaji wa kukuUkoloniDubai (mji)UaLilithWashambaaMamlaka ya Mapato ya TanzaniaStadi za lughaKiunguliaMzabibuSteven KanumbaUandishi wa ripotiKaabaVivumishi vya kuoneshaWazaramoMwanzo (Biblia)Muungano wa Tanganyika na ZanzibarUchimbaji wa madini nchini TanzaniaKoloniJumuiya ya MadolaMashuke (kundinyota)RitifaaBungeAunt EzekielAgano JipyaOrodha ya makabila ya KenyaSaidi NtibazonkizaNdoto ya AmerikaMaji kujaa na kupwaKitenziUharibifu wa mazingiraNomino za pekeeViunganishiNamba za simu TanzaniaVihisishiIniBahatiSanaa za maoneshoAsili ya KiswahiliNyangumiMachweoLughaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaNathariWahaUzazi wa mpangoJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaWamasoniArudhiUkabailaMkoa wa SongweMofolojiaNusuirabuJinaSoko la watumwaMatiniMpango wa BiasharaBaraza la mawaziri Tanganyika 1961Everest (mlima)Young Africans S.C.Nyumba ya MunguFamiliaKihusishiMafurikoMapambano ya uhuru TanganyikaMajira ya baridiHadhiraTanzaniaUti wa mgongoRejistaIsimu🡆 More