Nyamatongo

Nyamatongo ni kata ya Wilaya ya Sengerema katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania.

Msimbo wa posta ni 33334.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 16,414 . Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 26,707 waishio humo.

Wakazi asili wa kata hiyo ni kabila la Wazinza. Kwa sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji ambao ni Wakara, Wakerewe, Wajita na Wasukuma ambao wanazidi wenyeji kwa idadi.

Marejeo

Nyamatongo  Kata za Wilaya ya Sengerema - Mkoa wa Mwanza - Tanzania Nyamatongo 

Bitoto | Busisi | Buyagu | Buzilasoga | Chifunfu | Ibisabageni | Ibondo | Igalula | Igulumuki | Kagunga | Kahumulo | Kasenyi | Kasungamile | Katunguru | Kishinda | Mission | Mwabaluhi | Ngoma | Nyamatongo | Nyamazugo | Nyamizeze | Nyampande | Nyampulukano | Nyatukara | Sima | Tabaruka

Nyamatongo  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyamatongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Tags:

KataMkoa wa MwanzaMsimbo wa postaTanzaniaWilaya ya Sengerema

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kitenzi kikuuWimboAli Hassan MwinyiViwakilishi vya idadiBiolojiaNomino za kawaidaVitendawiliWaheheMbezi (Ubungo)TawahudiMaambukizi nyemeleziMkoa wa TaboraEe Mungu Nguvu YetuWayahudiMwanamkeUnyenyekevuNambaKiumbehaiSitiariJacob StephenHistoria ya WasanguNikki wa PiliLafudhiOrodha ya miji ya TanzaniaPapaCleopa David MsuyaSikukuu za KenyaGongolambotoMzeituniHomoniAzimio la ArushaHaki za binadamuHistoria ya ZanzibarKiingerezaTanganyika (ziwa)SheriaUfugajiMkoa wa MorogoroHektariEl NinyoVita Kuu ya Pili ya DuniaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020KarafuuPemba (kisiwa)Mfuko wa Mawasiliano kwa WoteKiboko (mnyama)Lugha za KibantuOrodha ya Marais wa KenyaMapenziKata za Mkoa wa MorogoroTambikoRushwaAlama ya uakifishajiKitenzi kikuu kisaidiziMillard AyoRose MhandoKimara (Ubungo)MeliTovutiBarua rasmiInshaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMsituOrodha ya Magavana wa TanganyikaSakramentiOrodha ya milima ya AfrikaSoko la watumwaStadi za lughaKitenzi kishirikishiMajiKongoshoWanyakyusaUbongoMbeya (mji)🡆 More