Mji wa Ho Chi Minh (Kivietnam: Thành phố Hồ Chí Minh, Sài Gòn) ni mji mkubwa nchini Vietnam mwenye wakazi zaidi ya milioni 7,1.
Iko katika kusini ya taifa hili. Hadi 1975 ilijulikana kwa jina la Saigon ikiwa ni mji mkuu wa nchi ya Vietnam Kusini. Baada ya kutwaliwa na jeshi ka Vietnam Kaskazini ukapewa jina jipya kwa heshima ya kiongozi ya kaskazini marehemu Ho Chi Minh.
Mji wa Ho Chi Minh | |
Mkoa | Mji wa Ho Chi Minh |
Anwani ya kijiografia | 10°2'N, 106°51'E |
Kimo | 18 m juu ya UB |
Eneo | 2095 km² |
Wakazi | 7.383.800 (2009) |
Msongamano wa watu | watu 2.095 kwa km² |
Simu | 84 (nchi), 4 (mji) |
Mahali | |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mji wa Ho Chi Minh, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.