Arudhi

Arudhi katika fasihi ni sehemu muhimu katika elimu ya utunzi wa mashairi.

Hasa arudhi inaelezea vipengele vya mashairi kama beti, idadi ya mishororo, vina na mizani.

Arudhi katika isimu inahusu vipengele vya mabadiliko ya vipambasauti, k.m. kidatu, nguvumsikiko au lahani.

Marejeo

  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Oriedo, Hannington 2007, "Istilahi za Fasihi ya Kiswahili", Nairobi: Kenya Literature Bureau
  • Wamitila, Kyallo 2003, “Kamusi ya Fasihi – Istilahi na Nadharia”, Nairobi: Focus Books

Tazama pia

Arudhi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arudhi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KinaShairi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoJose ChameleoneKata za Mkoa wa Dar es SalaamWilaya za TanzaniaChumba cha Mtoano (2010)IsimujamiiMobutu Sese SekoShambaMadiniOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuViunganishiUajemiHistoria ya IranMkoa wa SingidaHali ya hewaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMwanaumeApril JacksonRisalaNileUislamuManispaaKiraiMapambano kati ya Israeli na PalestinaSerikaliBabeliSamia Suluhu HassanHistoriaTarakilishiTafsiriMzabibuKiongoziUtandawaziViwakilishi vya pekeeKiolwa cha anganiJohn MagufuliKariakooSayariMkoa wa MbeyaWanyaturuNuktambiliMaandishiRicardo KakaManchester CityInstagramJacob StephenDhamiraAdolf HitlerMeliJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaUwanja wa Taifa (Tanzania)UchumiDawa za mfadhaikoKaswendeBurundiRupiaUhifadhi wa fasihi simuliziAntibiotikiVichekeshoMusaWikipediaMajina ya Yesu katika Agano JipyaDhima ya fasihi katika maishaKanda Bongo ManKinyongaMwaniAlama ya uakifishajiNdovuMkoa wa KageraMsamiatiAgostino wa HippoJamhuri ya Watu wa ChinaMimba kuharibika🡆 More