Isimujamii

Isimujamii (pia isimu jamii; kwa Kiing.

Aidha inajihusisha na athira yeyote ya jamii kama vile desturi za watu, matazamio, na muktadha, katika nyanja za lugha namna inavyotumika.

Chini ya taaluma hiyo, kuna matawi mengi yanayoshughulikia uchanganuzi wa vipengele fulani vya uhusiano kati ya lugha na jamii, k.m.

  1. uhusiano kati ya lugha na utamaduni
  2. matumizi ya aina tofauti za lugha na mazingira yake, kama lahaja, rejista na mtindo
  3. matumizi ya lugha tofauti wakati mmoja, kama katika wingilugha, ubadilishaji msimbo na diglosia
  4. vipengele mbalimbali vya mawasiliano kupitia maoni ya msemaji (tawi hilo pia huitwa isimu amali)
  5. matumizi ya lugha baina ya jamii za watu tofauti, kama lugha mawasiliano, pijini na krioli
  6. uhusiano kati ya lugha na siasa katika upangaji lugha na sera za lugha

Marejeo

  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Buliba, Aswani, Kimani Njogu & Alice Mwihaki 2006, "Isimujamii kwa Wanafunzi wa Kiswahili", Nairobi: The Jomo Kenyatta Foundation

Viungo vya Nje

Tazama pia

Isimujamii  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isimujamii kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

IsimuJamiiKiing.LughaTawi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaVivumishi vya -a unganifuOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUzalendoKiimboHistoria ya WasanguMweziWilaya ya ArumeruNishati ya mwangaUkwapi na utaoMoshi (mji)Tendo la ndoaMizunguKibodiNamba ya mnyamaAlama ya uakifishajiOrodha ya milima mirefu dunianiOrodha ya milima ya TanzaniaUfilipinoOrodha ya visiwa vya TanzaniaWangoniUtataKarafuuVidonda vya tumboUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiLugha ya maandishiWilaya ya KigamboniVita vya KageraHistoria ya TanzaniaKiburiMilaIyumbu (Dodoma mjini)Ugonjwa wa uti wa mgongoAfrikaMbadili jinsiaHaki za binadamuViwakilishi vya idadiMuundoKiboko (mnyama)Yombo VitukaKanisaAfrika Mashariki 1800-1845Mauaji ya kimbari ya RwandaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)BaruaVivumishiUtoaji mimbaMoscowUkristo nchini TanzaniaVitenzi vishirikishi vikamilifuBiashara ya watumwaMungu ibariki AfrikaMahakama ya TanzaniaUbunifuTarakilishiYoung Africans S.C.Majira ya baridiElimuUajemi ya KaleAbrahamuNgome ya YesuIndonesiaKinyereziMrisho MpotoMfumo wa mzunguko wa damuTabianchi ya TanzaniaUfahamuJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaAfande SeleDar es SalaamUfahamu wa uwezo wa kushika mimba🡆 More