Fonetiki (kutoka Kiingereza Phonetics) ni tawi la sayansi ya isimu.
Inashughulikia uchunguzi wa sauti za lugha za binadamu, pamoja na utamkaji na usikiaji wake. Kwa ujumla, fonetiki ni tawi la isimu linalochunguza jinsi sauti zinavyozalishwa, zinavyosafirishwa na zinavyomfikia msikilizaji.
Etimolojia ya neno fonetiki imebeba dhana mbili: foni na etiki. Foni humaanisha sauti, ilihali etiki ni dhana pana kidogo.
Vitamkwa huandikwa kwa kutumia alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa (au kifupi cha jina lake kwa Kiingereza, International Phonetic Alphabet).
Fonetiki inagawanyika katika:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fonetiki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Fonetiki, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.