Nafsi

Nafsi ni neno la mkopo kutoka Kiarabu.

Linatumika kusisitiza dhati ya mtu (k.mf. "Mimi nafsi yangu"). Hivyo linatumika kutafsiria neno la Kilatini "persona" (kwa Kiingereza "person") ambalo linamtofautisha binadamu (kama kiumbe wa pekee) na wanyama wote na kumpa haki zake za msingi. Tofauti hiyo ilisisitizwa hasa na dini ya Uyahudi iliyomtambua mtu (mwanamume na mwanamke vilevile) kuwa sura na mfano wa Mungu.

Ni msamiati muhimu wa ustaarabu wa Magharibi, unaotumika sana katika saikolojia, sheria, falsafa, teolojia n.k. Maendeleo makubwa katika kuuelewa yalipatikana wakati wa mabishano ndani ya Ukristo kuhusu fumbo la Yesu na Utatu.

Tags:

BinadamuDiniHakiKiarabuKiingerezaKilatiniMunguMwanamkeMwanamumeUyahudi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa MorogoroKinyereziMagonjwa ya kukuMazungumzoVipimo asilia vya KiswahiliHurafaHafidh AmeirAlomofuJamhuri ya Watu wa ChinaNomino za jumlaUNICEFZuhuraLigi ya Mabingwa UlayaTungo kiraiInshaKata za Mkoa wa MorogoroMkataba wa Helgoland-ZanzibarPesaKanisa KatolikiUkwapi na utaoRwandaNamba za simu TanzaniaLuhaga Joelson MpinaMsituKhadija KopaNamba ya mnyamaMfumo wa uendeshajiBibi Titi MohammedUandishi wa barua ya simuBabeliSitiariMunguOrodha ya milima ya TanzaniaMaji kujaa na kupwaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniWajitaFalsafaMalariaUnyevuangaBawasiriMkoa wa MbeyaOrodha ya maziwa ya TanzaniaSemiAmfibiaMange KimambiMaambukizi ya njia za mkojoMlongeFigoKadi za mialikoMbuga za Taifa la TanzaniaHeshimaMartin LutherFonimuUturukiMahakama ya TanzaniaPombooKonsonantiKisimaKataMkoa wa TaboraMgawanyo wa AfrikaMahindiUkristoBarabaraMbuTarakilishiAli Hassan MwinyiMorogoro VijijiniWaluguruJangwaUfisadiUtamaduniAfrika Mashariki 1800-1845SinzaHistoria ya KanisaNeno🡆 More