Liturujia Ya Mesopotamia

Liturujia ya Mesopotamia ni liturujia maalumu yenye asili katika Mesopotamia ya kale, ambayo kimapokeo inatajwa kama imetokana na Mtume Thoma, na inatumiwa hasa na Wakristo Waashuru na Wakaldayo wa Iraq na nchi za kandokando, pamoja na Wamalabari wa India kusini, wengi wao wakiwa Wakatoliki na waliobaki Waorthodoksi wa Mashariki, ambao wote wametokana na wale waliotengwa na Mtaguso wa Efeso (431).

Kwa jumla ni milioni 5 hivi pamoja na wale waliotawanyika karibu duniani kote.

Liturujia Ya Mesopotamia
Amen kwa Kiaramu cha Mashariki.
Liturujia Ya Mesopotamia
Mar Elias, askofu wa Kanisa la Mashariki, karne ya 18 - 19.

Hata matoleo ya vitabu vya liturujia hiyo kwa kiasi kikubwa yamefanywa na Wakatoliki. Lugha yake hasa ni Kiaramu.

Liturujia ya Kimungu

Liturujia Ya Mesopotamia 
Askofu wa Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabari akishika msalaba wa Mar Thoma unaowakilisha urithi wa Wakristo Wamalabari.

Kuna anafora tatu: ya mitume Addai na Mari, ya Mar Nestori, na ya Mar Theodoro Mfafanuzi. Kati yake, ya kwanza ndiyo ya kawaida zaidi.

Yanafanyika masomo matano, manne au walau matatu, kutoka: (a) Torati; (b) Manabii, yaani vitabu vingine vya Agano la Kale; (c) Matendo ya Mitume; (d) Nyaraka za Mtume Paulo; (e) Injili. Mawili ya mwisho hayaachwi kamwe.

Kalenda

Mwaka wa liturujia umegawanyika katika vipindi vya wiki sabasaba hivi, vinavyoitwa Shawu'i: Majilio (yanayoitwa Subara, "Kupashwa Habari"), Epifania, Kwaresima, Pasaka, Mitume, Joto, Elia na Msalaba, Musa na "Kutabaruku" (Qudash idta).

Tanbihi

Viungo vya nje

Liturujia Ya Mesopotamia  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Liturujia ya Mesopotamia kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Liturujia Ya Mesopotamia Liturujia ya KimunguLiturujia Ya Mesopotamia KalendaLiturujia Ya Mesopotamia TanbihiLiturujia Ya Mesopotamia Viungo vya njeLiturujia Ya Mesopotamia431AsiliDunianiIndiaIraqLiturujiaMapokeoMesopotamiaMilioniMtaguso wa EfesoMtume ThomaWaashuruWakaldayoWakatolikiWakristoWaorthodoksi wa Mashariki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Dawa za mfadhaikoSeli nyeupe za damuWahaVivumishi vya -a unganifuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifa28 MachiOrodha ya Marais wa BurundiRihannaUkatiliHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMajina ya Yesu katika Agano JipyaSumakuMtiWasukumaHistoria ya WokovuUsultani wa ZanzibarMandhariAthari za muda mrefu za pombeKuraniLongitudoOrodha ya makabila ya TanzaniaHarusiReal BetisKilimoFonetikiKinembe (anatomia)DhamiriKorea KusiniOrodha ya shule nchini TanzaniaMofolojiaHistoriaKalenda ya GregoriTarafaKitenzi kikuuChatuSomo la UchumiBiblia ya KikristoNomino za dhahaniaKhadija KopaTabainiViwakilishiMike TysonChuo Kikuu cha Dar es SalaamOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMkutano wa Berlin wa 1885Magonjwa ya kukuMaambukizi ya njia za mkojoVivumishi vya sifaShirikisho la Afrika MasharikiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuHoma ya mafuaChombo cha usafiriRadiHedhiHifadhi ya mazingiraWangoniUmaskiniSteve MweusiMbooMizimuFasihiMbwana SamattaMikoa ya TanzaniaNairobiHistoria ya WasanguMalawiSerikaliManeno sabaMbuUfugaji wa kukuYesuOrodha ya Watakatifu wa AfrikaVichekesho🡆 More