Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Liturujia" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Liturgia (pia: liturujia na liturugia; kutoka Kigiriki λειτουργια, leiturgia, yaani huduma kwa umati wa watu) ni utaratibu wa ibada hasa katika Kanisa... |
Liturujia ya Toledo (au liturujia ya Kimozarabu, yaani ya kati ya Waarabu) ni liturujia ya pekee inayotumika hasa katika jimbo la Toledo (Hispania) pamoja... |
Liturujia ya Antiokia, inayoitwa pia Liturujia ya Siria, ni jina la taratibu za ibada ya Wakristo ambayo ina asili yake katika mji wa Antiokia wa Siria... |
Liturujia ya Trento ni taratibu za ibada zinavyotumiwa na baadhi ya waumini wa Kanisa Katoliki kufuatana na mapokeo ya Roma jinsi yalivyokuwa mwaka 1962... |
Liturujia ya Milano ni liturujia maalumu ambayo inatumika katika sehemu kubwa ya jimbo kuu la Milano na katika parokia kadhaa za majimbo ya kandokando... |
Liturujia ya Roma ni liturujia iliyoenea katika sehemu kubwa ya Kanisa Katoliki, kutoka makao yake makuu, Roma (Italia). Kwa asili yake ni liturujia ya... |
Liturujia ya Kilatini ni aina ya liturujia ya Ukristo iliyoenea upande wa magharibi wa Dola la Roma ambapo ilitumika lugha ya Kilatini. Liturujia hiyo... |
Liturujia ya Braga ni liturujia maalumu inayotumika tangu karne ya 6 hasa katika jimbo kuu la Braga (Ureno). Inahusiana na aina nyingine za liturujia... |
Liturujia ya Misri ni liturujia asili ya Wakristo wa Misri ambayo kutoka jiji la Aleksandria ilienea hasa Ethiopia na Eritrea. Inatumiwa na Kanisa la... |
Liturujia ya Armenia ni liturujia maalumu ya Ukristo ambayo leo inatumiwa na Kanisa la Mitume la Armenia na vilevile na Kanisa Katoliki la Armenia kokote... |
Liturujia ya Mesopotamia ni liturujia maalumu yenye asili katika Mesopotamia ya kale, ambayo kimapokeo inatajwa kama imetokana na Mtume Thoma, na inatumiwa... |
Liturujia ya Ugiriki, iliyoenea kutoka Konstantinopoli, sasa Istanbul (nchini Uturuki) ni liturujia ambayo lugha yake asili ni Kigiriki, lakini siku hizi... |
Liturujia ya Lyon (kwa Kilatini: ritus Lugdunensis) ni liturujia mojawapo ya Kanisa la Kilatini ambayo imeendelea kutumika katika jimbo kuu la Lyon (Ufaransa)... |
Liturujia ya Vipindi ni sala rasmi ya Kanisa kama inavyoadhimishwa katika madhehebu mbalimbali ya Ukristo, lakini ni jina hasa la mpangilio unaofuatwa... |
Liturujia ya Ekaristi ni sehemu ya pekee zaidi ya Misa. Inafuata daima liturujia ya Neno na kuikamilisha kwa kumleta Yesu Kristo kati ya waamini wake kama... |
anamnesis; kwa Kiingereza "memorial") ni neno zito katika teolojia na liturujia ya dini ya Uyahudi na Ukristo vilevile. Ni tendo ambalo linataka kumfanya... |
Mwaka wa Kanisa (elekezo toka kwa Mwaka wa liturujia) Mwaka wa Kanisa (pia: mwaka wa liturgia / liturujia) ni mpangilio wa maadhimisho au kalenda inayoratibu majira na sikukuu za Ukristo katika muda wa mwaka... |
Liturujia ya Kimungu ni adhimisho la ekaristi kwa jina linalotumiwa hasa na Waorthodoksi na Wakatoliki wa Mashariki wanaofuata madhehebu ya Kigiriki.... |
Martyrologium Romanum (Kusanyiko Liturujia) Romanum (kwa Kilatini: Kitabu cha Wafiadini cha Roma) ni kitabu rasmi cha liturujia ya Roma kwa kufanya siku kwa siku ukumbusho wa watakatifu wanaoheshimiwa... |
Liturujia ya Canterbury ni madhehebu yanayoendeleza mambo bora ya Anglikana ndani ya Kanisa la Kilatini. Mwaka 2011 na 2012 Papa Benedikto XVI alianzisha... |