Nestori

Nestori (kwa Kigiriki Νεστόριος, Nestorios; Germanicia, (leo nchini Uturuki) 386 hivi – al-Khargah, Misri, 450) alikuwa mmonaki na mwanateolojia aliyefikia kuwa Patriarki wa Konstantinopoli (leo Istanbul) tangu tarehe 10 Aprili 428 hadi Agosti 431, ambapo kaisari Theodosius II alithibitisha uamuzi dhidi yake uliopitishwa na Mtaguso wa Efeso tarehe 22 Juni.

Nestori
Nestori kadiri ya Romeyn de Hooghe (1688)

Kwa kukataa jina lililozoeleka la Θεοτόκος, Theotokos, "Mama wa Mungu", kwa Bikira Maria, alisababisha mabishano makubwa na hatimaye mafarakano kuhusu fumbo la Yesu Kristo.

Hasa Sirili wa Aleksandria alimpinga vikali kwa kudai haamini umungu wa Yesu, ingawa mwenyewe alizidi kujitetea hadi kifo chake kwamba anashika imani sahihi.

Anaheshimiwa na Kanisa la Asiria kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Oktoba.

Tazama pia

Tanbihi

Vyanzo

Viungo vya nje

Nestori  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Nestori Tazama piaNestori TanbihiNestori VyanzoNestori Viungo vya njeNestori10 Aprili22 Juni386428431IstanbulKahramanmaraşKaisariKigirikiKonstantinopoliMisriMmonakiMtaguso wa EfesoMwanateolojiaPatriarkiTareheTheodosius IIUturuki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Usawa (hisabati)DhamiraVirusi vya CoronaNguzo tano za UislamuBenderaUkutaC++FasihiUtumwaKiumbehaiDuniaMichael JacksonWizara ya Mifugo na UvuviWilaya ya IlalaWanyamaporiRose MhandoIsraelRufiji (mto)Mfumo katika sokaTanganyika (maana)Arsenal FCMatumizi ya LughaKiambishiJinsiaMillard AyoOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaImaniStadi za lughaPentekosteBarua rasmiViwakilishi vya idadiNathariHistoria ya KanisaIsimuKiarabuTafsiriMnururishoPesaMahakamaMkoa wa ArushaAunt EzekielAbedi Amani KarumeKupatwa kwa JuaMimba kuharibikaShairiVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMaandishiZakaMivighaMaadiliRayvannyOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMeno ya plastikiBabeliKiunguliaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaBongo FlavaMkuu wa wilayaKisaweLigi Kuu Uingereza (EPL)LilithAthari za muda mrefu za pombeAfrika Mashariki 1800-1845Mapambano kati ya Israeli na PalestinaMilango ya fahamuTungo sentensiMzeituniMungu ibariki AfrikaVitendawiliKifua kikuuUturukiUislamuRohoUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Muungano wa Tanganyika na Zanzibar🡆 More